Nimeshindwa kusema naomba kinga dukani

Nimeshindwa kusema naomba kinga dukani

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,671
Reaction score
940
wakuu naombeni uzoefu wenu huku mitaani.
Kwangu mimi hizi zana huwa naendaga hospital nazoa za kutosha na huwa nakuwa huru kwani hakuna mtu anayekufuatilia
Sasa leo ziliniishia nakona isiwe tabu nikaenda duka la dawa kujinunulia mzigo .kufika pale nikakutana na mhudumu mzuuuri akiwa ana hudumia wateja mdomo wangu ukawa mzito.
Je wakuu pakiwa na watu wengi ni neno gani la kutamka bika kuharibu maana kwa watu kuwa labda ni mzinzi!!
 
nakumba nilipokuwa kijana sikuwahi kuona aibu....
 
dah kwako wewe mwambie2 naomba baloon(pulizo) atakuelewa.......

Nawasilisha.........
 
wakuu naombeni uzoefu wenu huku mitaani.
Kwangu mimi hizi zana huwa naendaga hospital nazoa za kutosha na huwa nakuwa huru kwani hakuna mtu anayekufuatilia
Sasa leo ziliniishia nakona isiwe tabu nikaenda duka la dawa kujinunulia mzigo .kufika pale nikakutana na mhudumu mzuuuri akiwa ana hudumia wateja mdomo wangu ukawa mzito.
Je wakuu pakiwa na watu wengi ni neno gani la kutamka bika kuharibu maana kwa watu kuwa labda ni mzinzi!!

Bora utamke majestically kuwa nipe condom kuliko fedheha ya kununua Arvs na kuhudhuria clinics.
 
Sasa leo ziliniishia nakona isiwe tabu nikaenda duka la dawa kujinunulia mzigo .kufika pale nikakutana na mhudumu mzuuuri akiwa ana hudumia wateja mdomo wangu ukawa mzito.
Je wakuu pakiwa na watu wengi ni neno gani la kutamka bika kuharibu maana kwa watu kuwa labda ni mzinzi!!

usiogope kijana.....

2353060277_41cc9d53ce_b.jpg
 
Sasa tena ikawaje? Ulirejea ukatumia mfuko wa Rambo au ulighairisha mechi mpaka uende hospital? Na huko Hospital unasemaje Kama unataka wakati kuna watu wengi afadhali ya pharmacy ....
 
Kuna jamaa yangu(jf member) aling'oa mtoto mkali ambaye ni muuzaji wa pharmacy. Alienda kununua kondomu akamkuta huyo mtoto. Siku ya pili akapata ujumbe toka kwa muuza kondomu kuwa amezimikiwa. Kilichofuata hapo umeme ulikatika so sikujua mbeleni.
 
nakupa plans za kuombea condom(s) dukani kama kweli unajipenda..!

kwanza aibu ulizonazo, jaribu kuwa unaomba kalamu na karatasi kwa nesi kwanza, mwambie kuna dawa unashindwa

kuitamka hivyo, unataka kuiandika!! then, andika hichoo unachokitaka, tena andika ni ngapi kabisaaa ili usimchanganye!!

hii PLAN A lazima tu itakuwa applicable kwa sababu hakuna duka la dawa ambalo halina kalamu na karatasi kwa ajili ya

kuwaandikia wagonjwa wao dosage, therefore, hapa umefaulu kwa asilimia 100. Trust me, no more worries here!!

pili, incase plan A fails,.... plan B says Plan A is the best! so, go for plan A!

Thank you!
 
Hivi kwa hali ya sasa, std's kibao, dunia ingekuwa vipi bila condoms?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom