Nimeshindwa kujiunga Meridian Bet

kiboboso

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
9,313
12,561
Wakuu naomba msaada wenu maana nimejaribu kujiunga mara nyingi ila nimeshindwa. Inaniandikia hivi
d39922d10108361f7ebd03452f43ea1a.jpg
 
wanataka uweke password imara ngumu, yatakiwa iwe na mchanganyiko wa herufi kubwa angalau moja, iwe na namba na iwe na alama za uandishi pia na jumla yake zisipungue nane
mfano: meriDi@n3 ni password unayoweza kuitumia hapo
 
Ingiza hii Mapambano123. Unaona hapo kuna capital letter M, kuna small letter apambano na kuna numbers 123.
Hiyo ndio format. Yan kama fomat ya password inakushinda, ile mikeka ndio utaiweza kweli? I doubt...:D:D:D
 
mkuu bila shaka tatizo ni lugha, sasa hapo kwenye password andika Agustino-87 ikikataa njoo udai chenchi kumbuka herufi ya kwanza nimeweka iwe herufi kubwa na namba hizo ziwepo hvo hvo, kila la kheri kwenye safari ya kumchangiaa muhindi
 
Hiyo uliyompa haina special character, wataikataa
 
wanataka uweke password imara ngumu, yatakiwa iwe na mchanganyiko wa herufi kubwa angalau moja, iwe na namba na iwe na alama za uandishi pia na jumla yake zisipungue nane
mfano: meriDi@n3 ni password unayoweza kuitumia hapo

Nashukuru mkuu
 
mkuu bila shaka tatizo ni lugha, sasa hapo kwenye password andika Agustino-87 ikikataa njoo udai chenchi kumbuka herufi ya kwanza nimeweka iwe herufi kubwa na namba hizo ziwepo hvo hvo, kila la kheri kwenye safari ya kumchangiaa muhindi

Mhindi Lazima akae tu. na nitaleta mrejesho hapa hapa
 
wanataka uweke password imara ngumu, yatakiwa iwe na mchanganyiko wa herufi kubwa angalau moja, iwe na namba na iwe na alama za uandishi pia na jumla yake zisipungue nane
mfano: meriDi@n3 ni password unayoweza kuitumia hapo

Asante sana mkuu. Nimefanikiwa ila tatizo inadai promo code.
 
Nenda kule jukwaa la sports kuna uzi maalum kwa ajili ya mambo hayo.
Unakwenda kwa jina la wazee wa kuweka mizigo na kubet
 
Wakuu naomba msaada wenu maana nimejaribu kujiunga mara nyingi ila nimeshindwa. Inaniandikia hivi
d39922d10108361f7ebd03452f43ea1a.jpg
Achana na hayo kampuni inazingua sana kujiunga mi nilishajaribu sana kujiunga lakini wapi

Nilishawatumia email lakini wapi utaratibu wao hovyo wanataka pesa harafu vigezo kibao

Sasa nakushauri kampuni zipo kibao waweza download app ya mbet una logn kama guest unajaza email na namba ya simu tu basi hiyo ni m-bet

Au hawa jamaa wadhamini wa simba yanga singida united sportpesa nao ni email na namba ya simu tu unachukuwa mpunga bila shida we wa wapi
 
Tatizo natumia iPhone. kwahiyo hizo app kwenye AppStore bado hawajaziweka mkuu
 
Back
Top Bottom