Nimeshindwa kujiunga Meridian Bet

Nimeshindwa kujiunga Meridian Bet

Au hawa jamaa wadhamini wa simba yanga singida united sportpesa nao ni email na namba ya simu tu unachukuwa mpunga bila shida we wa wapi
Inayofunguka ni sportpesa ya Kenya nadhani ikioneha Ksh.
Ufafanuzi tafadhali
 
M -bet wana option chache sio kama meridian
Apakue sportpesa INA option kibao
Screenshot_20170601-231321.png
 
Achana na kampuni ndogondogo mashart kibao huku wanataka pesa huku mashart meng Mara promo code
 
ni rahisi sana Kujiunga meridianbet tz kwa kutumia promo code mwana
kwa herufi ndogo. Kwa msaada zaidi tuma sms kwa namba +255 692 700 813 hiyo
kusajiliwa haraka NA kupewa APP YA meridianbet tz. Promo code ni mwana +255 692 700 813.
 
Back
Top Bottom