Dodgers Gamers
Member
- Aug 20, 2025
- 86
- 103
Asisahau na kupiga Skanka kama kifungashio.Anza kujifunza kunywa BIA kila kitu kitakaa sawa.
Kumbe?Asisahau na kupiga Skanka kama kifungashio.
KabisaKumbe?
SawaKabisa
Bia Zipigwe marufuku kutengenezwa.Anza kujifunza kunywa BIA kila kitu kitakaa sawa.
Achana na wanaokushauri unywe pombe au majani hayo ndio yatakuvuruga kabisa.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.
Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.
Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.
Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.
Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.
Kabisa mkuu kuwa mwanaume halafu haunywi pombe ni fedheha sanaIla hapo home kama mdau min -me alivyoshauri jifunze pombe itakupa kutoyachukulia Sana maanani maisha na ndo lengo mzee..ukiwekeza kutafuta Sana hela utajenga tabia ya kutoridhikiwa na maisha yako yote utakwenda mbio kuzitafuta bila ya Ku enjoy pia
Hapana nakataaa, tutakufa wengi 🥲Bia Zipigwe marufuku kitengenezwa.
sitopotea huko wakuuAnza kujifunza kunywa BIA kila kitu kitakaa sawa.
Kama hauna akili timamu utapotelea.sitopotea huko wakuu
Ila Great Thinkers 🙌Anza kujifunza kunywa BIA kila kitu kitakaa sawa.
Wap nimedai mimi ni great thinker humu bwashee?Ila Great Thinkers 🙌
Huna tatizo lolote.Ni umri wako tu ambao unakuvusha kutoka utotoni kuelekea ukubwani.Ni hali ya kawaida hiyo.Akili inaanza kuwaza na kutegemea vitu mchanganyiko bila mpangilio maalumu.Take it easy, young man!Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 mwishoni kuelekea 20, pamoja na kutokuwa na elimu mimi ni muoga wa maisha.
Kwanza, mpaka sasa naishi nyumbani kwa wazazi, maradhi na hata chakula pia nawategemea mpaka sasa. Kuna kipindi mwaka jana nilitaka kuondoka nyumbani kutokakana na kutopenda maisha ninayoyaishi(kutegemea wazazi) lakini kwa bahati mbaya nilizuiliwa na kuambiwa kama ni kazi nifanye nikiwa nyumbani. Nilkubali japo kishingo upande.
Pili, mimi ni mkimya, muoga, sijiamini na aibu ilishanivaa na kunimiliki. Sasa nimeomba ruhusa ya kuondoka kwa sababu bado nilishindwa kubadilika na kuendelea kuwa tegemezi. Maisha ya aina hii siyapendi nilitamani nirudi kusoma lakini uchumi haukuruhusu pia, nitamani kujitegemea mwenyewe kwa kila kitu na malengo baadae nirejee darasani kivyangu.
Nimeomba ruhusa na nimeruhusiwa kuondoka lakini bado sijiamini kwa kuwaza maisha yatakavyokuwa huko niendako na nimejiapiza lazima niondoke.
Kuna kipindi niliwaza labda mjani unaweza nisaidia kuchangamka lakini naona vitaniharibu.
Myankunywa mbege.Hapana nakataaa, tutakufa wengi 🥲