Nimeshindwa kufanya mapenzi

Tatizo ulikuwa unawaza gharama kubwa uliyoingia kulipa chumba hoteli ya nyota 4 na kiasi cha posho atakayodai baada ya shughuli. Acha kuwaza mambo mengine ya pesa ukiwa na mwanamke, fikiria hicho tu. Pia idadi ya mabao siyo kilele cha kumridhisha mwanamke, hata kamoja kanatosha kama mliandaana vizuri. Ya nini kujipinda kama unachimba dhahabu.
 
Kwanza uliingia kwenye shughuli confidence level yako ikiwa chini kutokana na rating ya juu sana uliyompa huyo mtani wa jadi - kwa uchache umempa sifa za mwanamke bora, smart intelligent, very informed, beautiful etc. Kwa taarifa yako sifa zote hizo hazi apply kwenye ile shughuli ya wanaume na wanawake pale kinachotakiwa ni yule bwana mdg. aingie sehemu stahiki na adumu kuwa active mpaka utakapoamua vinginevyo baaaas; Pili ulikwenda kwenye sehemu yenye gharama kubwa mno (kama ni ukweli) yaani four star hotel. Nakiri kuwa sina uhakika na kipato chako ila yumkini ulitoboka mfuko. Na hili la pili ni ushahidi wa lile wa kwanza kuwa ulimpa heshima kubwa mno (four star status) huyo bibiye mpaka ukajiletea stress za bure. Ile ya mara ya pili ndio kabisaaa ulijawa na woga wa kushindwa tena kama mara ya kwanza.
 

Uliikumbuka style ya POPO KANYEA MBINGU?
 
Wazungu wana sema don't panic!ukiweza Tu apo mkuu utatoa mtanange wa kufa mtu!
 
Ngono zembe ni hatari kwa maisha yako! Mda mwengine mizimu ya kwenu inakuepusha na matatizo! Oooh!

Hakika kukufahamu vizuri we mwanamke sio rahisi, leo nimethibitisha! Kwa ufupi umenifanya nicheke hasa lol!
 
Ninajaribu kupata picha siioni, siku nikipata tatizo kama lako sijui itakuwaje

hehehehehehee,,,mkuu umefikira kama mimi...hehehhehheheee....eeh Mola tuepushe na hili janga
 
unakuwa umepania sana nakutaka kuonyesha ufund ili dada akasimulie hyo sio sawa jarbu kurelax ndio maana inakuwa hvyo,kama unampenda kwel fanya process mfunge ndoa awe wako jumla.kuchepukachepuka sio kuzuri dunia ya leo
 

Kumbe unakula hadi wake za watu! Adhabu itakuwa imeanza pole pole, kuwa mwangalifu!
 
sometimes unajisifia upuuzi... na kuonyesha ujinga wako
 
Tutaaminije ulilala 4 star??? Wabongo bana kwa misifa ulimpa ngapi wakati anaondoka???
Jibu nikusaidie dawa

Midemu ya tandika bwana mnawaza kupewa tu mkimaliza tendo...?? Kwani imekuwa biashara????!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…