Nimeshindwa kufanya mapenzi

Nimeshindwa kufanya mapenzi

watu wenyewe ndio hawa mara haisimamami kutwa kulalamika,umeshachezea hadi wake za watu unajisifia wacha ilale au kama vp ikalishe
 
Ooh asante Mungu wa Mbingu na Nchi maana wakiambiwa waache zinaa hawataki! endelea kuwa aibisha na kuwafedhehesha mbele ya wapenzi wao mpaka wajue aliye juu ana miliki na kutawala.
 
mwisho wa siku hisia zinapanda sana na kujaribu kufanya kitu inagoma. Anyway bado natafuta kujua kaka kuna zaidi ya over excitation au kitu kingine.


kikubwa ni kwamba Yesu Kristo wa nazarethi anakutafuta uache zinaa vinginevyo atakufedhehesha mpaka utatamani upotee chini ya ardhi.
 
Asali kijiko kimoja kikubwa changanya na vitunguu thomu vilivyotwangwa tumia asubuhi na jioni,(orally)
 
Ulipania sana mkuu mmh na unapokutana nae mchukulie ni wa kawaida sana
 
Habari zenu wanaJF. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana Kwa ajili ya mazungumzo, nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli, Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex onavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kisimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.

Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi, mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kuvuana chupi na kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa. Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana.

Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea, lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.

Naombeni msaada na ushauri wenu.

Definition yako ya upendo inabidi upewe kadi ya uanachama wa chema letu.

Cc: babu Asprin - mshauri mwelekezi
Kaizer - mwenyekiti
Nicas Mtei - Secretary for Ideology and Publicity
KakaKiiza - katibu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu me naona ni presha tu coz inaelekea mtt yupo levo za juu kulingana na sehem ambazo umeshawahi kupita.So kunawakat mtu unakua huamini kama kweli amekubali kukuvulia pichu.So kitu chamsingi unapokuwa ulingoni usipaniki we relax tu na wala ucwe na hofu juu ya yaliyo tokea awali
 
mke wa mtu huyo, shauri yako!! safari ijayo utagandishiwa humo..
 
Ngono zembe ni hatari kwa maisha yako! Mda mwengine mizimu ya kwenu inakuepusha na matatizo! Oooh!
Sasa bidada hapo akiweka ndomu si itakuwa nyoronyoro kitu pyuwa redha kitu hakuna unadhani nini tena hapo!
 
Mwanangu imeishawahi kunitokea nikwamba demu unampenda na ulimkamia sasa mshawishi mkaenaye usiku mzima atakimbia pili wakati unapakitu chungulia papuchi uangalie mashine imavyoingia na inavyotoka halafu uone ukifanikiwa ni pm nikuongezee maujanja usinywe madawa wala nini! Banzi
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hapo ni saikoloji tu, kwamba wewe unapania sana kuonyesha maufundi yako ndo mana unakuta unaperform chini ya kiwango, next time ukikutana nae relax tu na mchukulie kama wa kawaida, then piga bakola utanipa jibu. Usifu uwa zinatokeaga hizo.


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Dah pole sana mkuu tatizo lako ni kupania game kwa muda mrefu sana cha kufanya tuliza mzuka kama unatumia biere piga kadhaa ili kupunguza stress mkubwa jib utanipa.
 
Back
Top Bottom