Nimeshindwa kufanya mapenzi

Nimeshindwa kufanya mapenzi

Punyeto, uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe kupita kiasi, msongo wa Mawazo. Ni baadhi ya mambo yanayochangia hilo tatizo.
 
Hata mimi hii huwa inanitokea lakini kama nawaza nchi iko chini ya CCM na kuna dalili za kutawaliwa (kufilwa) tena nao.
 
Hakuna kitu

acha punyeto kam huw unafany, pia kula vyakula vya wanga vya kutosha kma vle ugali dona, mihogo, viazi pia karang na ndizi kw wingi usisahau maji masafiiiiii kw wingi.
Hapo lazma akukubali
 
Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana Kwa ajili ya mazungumzo, nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli, Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex onavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kisimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.

Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi, mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kuvuana chupi na kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa. Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana.

Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea, lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.

Naombeni msaada na ushauri wenu.

The issue is phychological...you just want it so bad. Hapo lazima update shida, jiandae ki fikra kwanza kabla hujaonana naye.usikimbilie kufanya, mkiwa wawili jaribu kuoga kwanza, punguza mawazo, kunywa maji na ujiandae kimazingira.
 
Pole sana rafiki, kinachokusumbua ni wasiwasi wakati wa tendo na huenda mazungumzo yenu ni ya kupaniana ama inawezekana huyo mwanamke alishakuambia anapendelea nini kwenye wakati wa tendo na hivyo baada ya kujitathmini ukakuta unapungua hii inakufanya upoteze kujiamini.

pengine bado unamkumbuka mpenzi wako wa awali na hivyo maandalizi yako yote huvutia hisia kwake, wakati wa tendo unakuta ni mtu mwingine na hivyo kupoteza hisia.
Tafadhali usipanie, jiamini na usiwaze waliopita na utumie kinga au mkapime VVU kuondoa wasiwasi.
 
Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very informed, nilimtaka kimapenzi na baada ya muda Mrefu wa kuwa Na confidence na mimi alinikubali. Tulipanga siku kukutana Kwa ajili ya mazungumzo, nilitafuta hotel nzuri ya 4 star na tukawa na muda mwingi sana wa mazungumzo na baadae kufika kwenye tendo lenyewe. Ukweli hisia zangu zipo juu mno na nina mpenda sana na nia yangu na furaha yangu ilikuwa kumpa mambo mpaka afurahi na alidhike kweli, Cha kustaajabisha, nilishindwa kufanya nae sex onavyopaswa, ukweli ni kwamba ilikuwa inanichukua muda mrefu sana kisimama na kuhitaji tena, hivyo nilifanya nae goal 2 hafifu mno.

Ukweli alisikitika sana halikadharika mimi pia, kwani uwezo wangu naujua vyema. Baada ya hapo tulipanga tena na katika kipindi kisichozidi wiki 3 tulikutana nae lakini hali ilazidi kuwa mbaya zaidi, mara ya mwisho kabisa ni pale tulipofanya romance na ukipofika hatua ya kuvuana chupi na kufanya tendo lenyewe uume wangu ukasinzia kabisa. Nilipatwa na hasira sana pia dada wa watu, ajabu sasa ni pale ambapo nikiachana nae dakika 2 tu najikuta nahitaji sana.

Ndugu zangu nimeshindwa kuelewa nini kimetokea, lakini ukweli wa moyo wangu bado nampenda sana na ninajua ninao uwezo mkubwa katika eneo hilo. Ninayo mifano mingi sana kwani nimekuwa na mahusiano mengi huko nyuma na baadhi yao mpaka Leo bado wanataka ingawa ni wake za watu.

Naombeni msaada na ushauri wenu.

aaaaahhhhh dogo mambo gani tena haya.? kazana kutiaaaaaa acha uvivu io ndio eshima ya mwanaume bna.
 
Ngono zembe ni hatari kwa maisha yako! Mda mwengine mizimu ya kwenu inakuepusha na matatizo! Oooh!

Mmmmh!!!!! Mizimu tena nieleweshe vizuri, sijawahi kusikia kitu kama hicho.
 
Mapenzi sio cha kula kwamba usipofanya utakufa....kama unaona unashindwa achana nayo

Kuna uwezekano wewe ukawa unagegedana kila weekend afu unamwambia mwenzako achane nayo.
 
haa haa haaa kwa hiyo kumbe imeshafwariki??

Katika dunia tunayoishi kuna mawili kugegeda au kugegedwa, ukiona moja linakushinda basi ujue upo upande wa pili.
Dudu ya Banzi ilale mahali pema peponi!!!!!!!!!!
 
usiendekeze kutiana kabla ya ndoa. kapimeni kwanza
 
teh teh teh you meant dudu yake irest in peace? DEMBA
 
Last edited by a moderator:

Wadada wenye mtizamo kama huo hapo juu, ni wachache sana, kama wewe ni kweli una fikra na mtizamo huo naomba uniPM namba yako ya simu coz nawatafuta sana.
 
Back
Top Bottom