Nimeshindwa kufanya mapenzi


umewahi sikia ukikamia sana coca cola na pilau itakupalia? hlo ndo tatizo lako.... acha papara! amini uko na demu wa kawaida sana, kama yule hausgel wa jirani yenu!
 
kafunge ndoa hacha kuzini mambo yatakuwa sawa unaowaendea sio wako
 

Hahahaha ameekuwekea sindano huyo, anakufanyia makusudi
 

Unaomba msaada ukafanye dhambi!!!!...go yo hellll.
 
piga bia jombaa alafu uliipania sana papuchi yake kumbe ni ya kawaida tu acha kuogopa uzuri wa sura mzigo ni ule ule tu.
 

Ni aina fulani ya ugonjwa wa sexphobia unampenda mtu kupitiliza unamuona ni so special kiasi kwamba hiyo hali inakuja kuathiri mpaka hisia zako hivyo unapokuwa naye unapata panic fulani ya ndani mpaka unashindwa kufanya lolote
Kama unaweza tumia whysky kidogo itaweka mambo sawa
 

mtani we need more elaboration about this please..
 

amri ya 6. USIZINI ... over!
 
tatizo mkuu huyo dem ni umempenda kwa jinsi alivyo na sio kwa sex,simulation zako haziko kimapenzi nae ila moyo unampenda sana na wanawake wa dizaini hiyo wako wengi na pindi pale ambapo unakuanae faraga mwili huchange kama hali ya ubaridi flani inaeletwa na kauoga flani ambako ni nomal sana basi hapo ndugu ikisimama ni sk40 then inalala hiyo hali ilishawai kunitokea.
 

Nimekwambia niekee kilo 3 kesho nibadili mboga.
 
Sure, huitaji kupigwa starter?? Vijana siku hizi umri ukienda kidogo mpaka starter...
Sio wote lakini sitaki kukwaza watu
 

Nakusoma kwa jicho la 3D..
 
Umepgwa juju wewee.acha uzoba demu itakiwa anafahamu mchezo mMa.labda ameznguana na mtu wake,kaekewa tego huyo dume yoyote hapand kula mzgo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…