Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,192
- 99,924
Nimecheka sana sana
Ile lugha gani ameandika pale? kama kiswahil kinakataa siaandike kizungu tuuTaratibu hiyo ni code switching language anajitahidi kuwasilisha na ni mtu kutoka Kenya kwa hii jukwaa.
Kizungu wengi awatamuelewa.Ile lugha gani ameandika pale? kama kiswahil kinakataa siaandike kizungu tuu
Si manzi yake ni mbochi.Sasa wee unaendaje kwa keja ya manzii ya profoo kirahisi hivyo? Unafahamu ile mafuta ya Ky?
AhahahaahZa ovyo vepe, akati umebonga ka mkikuyu.......![]()
![]()
....mangi mwenzio huyo anatafuta mamende!...alishajifanya demu sahivi kabadili pigo!wanaume wa nyeri kama wa dar