NIMESHIDWA KUJUA CHIPSET YA HUU MZIGO

Zugak17

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
1,171
Reaction score
383
Kiukweli hapa nina mzigo wa G'FiVe G10 fashion natafuta firmware yake lakin kulingana na kuwa hautaki kuwa installed ktk pc nikaona sio vyema ngoja niufungue nicheck chip gan unatumia?????
 
image haionekani vizuri hasa kwenye hizo ICS.. hebu fanya kupiga kwa ukaribu zaidi while targeting ICS only
 
hapo ilipo cmu inawaka au?, kama inawaka hebu jaribu kuplug in kwenye pc then utaona ni drivers zipi zitakuwa installed. hyo simu ni android au generic?, kama ni android possibilit ni mtk au spd sasa jaribu kuread info kwa cpu zote hzo na kama ni generic jaribu pia kiread info.. by the way, tatizo la cmu ni nin hasa?
 
Nshaipatia mzee. Ila tatzo ni kwamba naipata wap firmware yake???
 
TU
Kiukweli hapa nina mzigo wa G'FiVe G10 fashion natafuta firmware yake lakin kulingana na kuwa hautaki kuwa installed ktk pc nikaona sio vyema ngoja niufungue nicheck chip gan unatumia?????
TUMIA VOLCANO BOX (RED BOX) INSTALL
InfernoTool_UniTool_Volcano UTAJUA INATUMIA CHIP GANI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…