Nimeshatuma maombi EWURA

Nimeshatuma maombi EWURA

miss naire

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
237
Reaction score
228
Habarini za kwenu, natumai mu wazima woote.

Kama nilivyowahi kusema hapo nyuma kuwa kiu na nia yangu ni kufanya kazi utumishi wa umma. Sasa katika nafasi za kazi walizotangaza EWURA, kuna nafasi moja nimeona inaendana na mimi na sifa wanazozitafuta ninazo, nimeamua kutuma maombi, kwa njia ya email na posta.

Naomba Mungu niwe shortlisted
 
Yeah ila hao jamaa ubaguzi mwanzo mwisho, ingawa nami ntatest zari
 
wote mmekimbilia stores cum administrative officer...hakuna wakemia humu
 
habarini za kwenu, natumai mu wazima woote, kama nilivyo wahi kusema hapo nyumba kuwa kiu na nia yangu ni kufanya kazi utumishi wa umma, sasa katika nafasi za kazi walizo tangaza ewura, kuna nafasi moja nimeona inaendana na mm, na sifa wanazo zitafuta ninazo, nimeamua kutuma maombi, kwa njia ya email na posta. Naomba Mungu niwe shortlisted
Kwanini unaamini kwenye kua shortlisted badala ya kushinda interview?
 
Jamani hivi sisi ambao hatuna uzoefu mnanishaurije niombe au niache tu maana wanataka uzoefu 2 years
 
Mimi nimetuma kwa posta lakini kuna rafiki yangu ameniambia amepeleka kwa mkono,kwani kuna haja tena ya kuandika tena na kuikabidhi kwa mkono wakati nimeshatuma tayari kwa posta???????????????
 
Back
Top Bottom