Eidj5
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 504
- 419
utakuta nafasi tayari zina watu wao ndio hapo wanaponiudhi hawajui watu wanatumia hela ku apply na kwenda interview
Kaka mimi nimekuwa nikiwaza sana kitu hiko lakini jinsi nilivyovurugwa nikaweka nia moyoni hata wakitangaza nafasi moja iwe na mtu tayari au laaa,mimi natuma tu,mungu ndiyo mkadiriaji huenda nafasi tano ambazo zinatangazwa na wewe ukawa ni mmojawapo.