Nimeshangazwa na Salamu mpya ya CCM

Nimeshangazwa na Salamu mpya ya CCM

Kama huu ndo upinzani wenyewe,,,,, mjukuu wa mwana wangu atakayezaliwa mwakani labda ndo aje aiondoe ccm. Upinzani haupo Tz, haujitambui na wafuasi wake ni mazuzu.

Natamani turudi kwenye mfumo wa chama kimoja tu. Mengine haya ni maigizo tu.
Mmh,we ni makonda au polepole sio buree
 
Anaesema SSM ipo hai ndo anaeishi mortuary kwenye Yale majokofu au ni mentally epileptic na akitaka kuprove kuwa SSM ilishajiozea na imezungukwa na scavengers siku uchaguzi ufanyike halaf jeshi la polis liwe likizo kama SSM haijafa na kifadulo nyambaaf hata ikulu wanajua ndo maana uchaguzi wa 2015 waliandika chagua makomeo na hawakusema chagua SSM maana ingenuka vibaya na hata Sasa inapumulia mashine
 
Umekosea kukoti HIYO salami , " kidumu chama cha Mapinduzi, kidumu kutoka madarakani" tasafiri yako haina ueledi. Ungewauliza wana maana gani.

Watanzania tu naelekea wapi, yani tunachokisikia ndicho tunarepoti, Mwenye utashi angeuliza hivi hii salami unamaanisha nini , iliujibiwe na uerekebishwe.
maana yake kinaendelea na harakati za kujitoa madarakani
 
FB_IMG_1486458289857.jpg
 
Kama huu ndo upinzani wenyewe,,,,, mjukuu wa mwana wangu atakayezaliwa mwakani labda ndo aje aiondoe ccm. Upinzani haupo Tz, haujitambui na wafuasi wake ni mazuzu.

Natamani turudi kwenye mfumo wa chama kimoja tu. Mengine haya ni maigizo tu.
Pombe zikiisha kichwani utaona aibu sana kwa ulichoandika.
 
Tangu lini Kauli na Misemo ya Chama chetu Chama Tawala ukaipata Uchagani kwa Kina Mbowe? [emoji3]
 
Hata mfanyeje ccm itadumu mileleee

Kwani nani kabisha kuwa CCM haitadumu?? Swala ni madarakani kwani kama si kuendelea kuwatumia akina Lubuva, Polisi, Tiss na machinery nyingine wewe na CCM yako... 2020 asubuhi tu mtakuwa mmeshakazwa (mmekalishwa) chini
 
Salamu yenyewe huwa iko hivi

Kidumu cha chama cha mapinduzi
Wanajibu
Kidumu na kigumu kutoka madarakani
 
Pombe zikiisha kichwani utaona aibu sana kwa ulichoandika.
Hata pombe imetoa hekima hapo. We huu unaouona ni upinzani au? Wapinzani hawazisemi sera zao, upinzani wa matukio na majanga ya asili, huu ndo upinzani? Kabisaaa, tutarajie hawa kuchukua nchi? Nadhani wana jingine linalowaweka upinzani wala si dhamira safi ya kuliokoa taifa.
 
hao walioko madarakani ndio wenye dhamira? Kujenga airport chato na kuacha wanafunzi wanakosa mikopo ndio dhamira safi?
 
Back
Top Bottom