Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Katika pita zangu hapa Kilimanjaro nikiwa nimekuja kwenye msiba wa makada 8 wa CCM kama ndugu, nimeshangazwa kusikia salaam mpya ya wana CCM, tena nilio wasikia ni wazee makada wenyewe wa CCM
Salaam yenyewe ni hii.
Kidumu chama cha mapinduzi,
Kidumu kutoka madarakani.
Nikawauliza hao wazee hawakunijibu, japo nilihisi ni kutokana na msiba hawakua na Uhuru sana.
Nimetafakari nineona kana kwamba kuna kamgogoro ndani ya CCM ambako pengine baada ya muda tutakaelewa .
Mgogoro huu nadhani unatokana na wana CCM kuhisi wamekaliwa na kundi dogo ambalo halijali mambo ya msingi ya chama.
Wengine wameamua kuiombea ccm ife japo na wao ni wana CCM.