Nadhani hujamuelewa jamaa vizuri, kumbuka hii sio interview! na wengi bado ni wageni kwenye management ndo maana anatoa na ushauriUnamtafuta meneja wakati huo umeshameandalia watu wa kufanyanae kazi , unampa maelekezo meengi meneja ambaye hujampata badala ujieleze wewe!!
Kaweka hiyo hapo juu, kama anazo 30 kama alivyosema basi itakuwa hatariWeka hata demo yA sauti mkuu
Nimeiona pia anajitahidi kama anazo 30 kama hizi basi anaweza.Umejitahidi sana, una sauti nzuri na unapanda na kushuka vizuri, uko vizuri
moja ya link ya kazi yangu//
moja ya link ya kazi yangu//
Hauko serious kaka.,,,kwahyo kila mtu aje whatsapp???!!!!!,,,,kwan usitune hapahapa?Upo huru kunitext whatsapp, tukaonana ukapata kazi zangu ndugu yangu.
Mzee hawezi kuweka kazi zake zote hapa kumbuka bado hazijatoka na kuachiwa, pia anasema ni Demo hivyo kuna sababu za kiusala pia kwenye hizo kazi zake, but ameweka link hiyo yenye kazi yake ambayo inaweza kukupa concept kuwa anamaanisha anachoongea au anaigizaHauko serious kaka.,,,kwahyo kila mtu aje whatsapp???!!!!!,,,,kwan usitune hapahapa?
Video yake ina high quality jaribu kubadilisha pixel za video unapokuwa Youtube, nimeitizama hiyo Video ina HD inayofikia 720pNimesikiliza, Nimekubali quality ya ''msikizo/usikivu wa vyombo'' ipo standard ya kimataifa, wasanii wengi Tanzania kazi zao, quality ya sound za vyombo huwa ''mono sana'' YouTube.
Kuhusu sauti ya uimbaji unahitaji kuifanyia maboresho nenda kwa Learn to sing with Tony Joett / joettmusic Youtube au www.joettmusic.com Tanzania ikiwezekana onana naye.
Ila Youtube soko la dunia hawajali sana lugha hivyo Fanya haraka wimbo wa kwanza ktk demo clip uliotupia Youtube nimeona maelezo ''yakujificha a.k.a maelezo hafifu yasiyojitosheleza '' watu wata sample kazi yako! Nanukuu niliyoyaona Youtube kama ulivyo upload
''Published on 12 Nov 2016
Bongo Flavour Fl studio beat and vocal arrangement
Fl studio 11
Beat created by Givadam hehe. Ⓒ2016 all rights reserved''
bado hujaweka full info muhimu (Artist ni nani,facebook, insta, Twitter account , gmail, mobile no., country Tanzania, producer & studio) usije ukawa kama kina producer Frank Majani na msanii Saida Karoli kukuta kazi zao zinanakiliwa na kukosa hati miliki toka day one.
Mwisho kwanini sauti ya vyombo ktk clip uliyoweka JamiiForums ni standard ya juu na ina utofauti na ukisikiliza moja kwa moja toka website ya Youtube, tatizo ni nini. Hakikisha kitu unachotupia Youtube iwe na sauti kama yale matangazo ya kampuni kubwa YouTube.
Kwa kazi/demo tu hiyo aloionyesha kijana yupo serious, tuache uongoHauko serious kaka.,,,kwahyo kila mtu aje whatsapp???!!!!!,,,,kwan usitune hapahapa?
Davido - Skelewu Instrumental
Source: CASHBUZZ
Beat imepigwa na analogue hii vitu vinasound vizuri kweli!safi
Sio kweli hizi beat zinafanya kwa modern pc software huo muziki unaosema ulipigwa miaka ya 90 na 80 huko.Beat imepigwa na analogue hii vitu vinasound vizuri kweli!