Nimeshaiva kimuziki nahitaji management ili niweze kutoka

Hongera utafanikiwa kipaji unacho hakuna linaloshindikana chini ya jua Mdau.
 
wenyewe mnasema hip hop haiuzi mbona Darasa katoboa

Wakina Joh mbona Rap imewapa kile ilichowapa na bado hawajabana pua wameendelea na rap kama ilivyo ada.

Blue mpaka leo hii anafoka, hivi ni kweli ingekuwa aina hiyo ya muziki haulipi angeendelea kufanya kwa kitu ambacho hakimlipi kweli...?
 
Hailipi ile tusidanganyane wasanii wa hip hop wenye mafanikio ya Muziki kibongo huwezi kufananisha hata robo na wasanii wanaoimba bongo..
 
Hailipi ile tusidanganyane wasanii wa hip hop wenye mafanikio ya Muziki kibongo huwezi kufananisha hata robo na wasanii wanaoimba bongo..

Wasanii wa HIP HOP bongo wenye mafanikio wanafanya aina gani ya muziki...?

Na hayo mafanikio unayosema wamepata kupitia muziki gani...?

Ni kweli unavyosema ya kuwa wasanii wanaoimba bongo ni wote wana mafanikio mkuu...?

Una uhakika kuwa mtu akifanya muziki was HIP HOP bongo hawezi kupata mafanikio...?

Mwisho, kwani mafanikio kwako unayatafsiri vipi kiongozi ili tujue unacholenga kukiongea labda...?

Thanks buddy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom