Nimeshafika Selena hotel......

Nimeshafika Selena hotel......

😀😀 mi nipo pale kwenye kibanda wanachouza kuku karibu na ile baa mbovu nakuonaga sana tu.
Umeona eeeh si nilisema utakuwa ushaniona. Ila leo mguu unaniuma nachechemea kidogo. Kile kiba cha dada wa kihaya si kimeshafungwa?
 
Ktk msafara wa mamba kenge hakosi na penye wengi pana mengi jamani.

Unakuta jamaa kaandika kuwa comment jna lako na utaona maana ya jina lako, halafu jamaa anaandika kabisa Eti john, na matokeo yanatoka like 1 ya mtoa post.
 
Umeona eeeh si nilisema utakuwa ushaniona. Ila leo mguu unaniuma nachechemea kidogo. Kile kiba cha dada wa kihaya si kimeshafungwa?

Nimechukia mno sijui kakosea wapi labda issue za marejesho maana wazee tip mulikuwa munambania.
 
Seems mda wa birthday bado,sishangai mtoto mzuri hivo akose pedeshe la kumfanyia birthday serena
 
Hicho ndio kilinifanya ni delete account yangu imepita miaka mitatu sasa!
Wapuuzi ni wengi sana kule ingawa kuna ndugu zangu pia ila nimekataa kujumuika pamoja na jumuiya ya mandezi toka sehemu mbalimbali nchini type yahuyo Ashura milanz maana humalizi siku utakuta request kama 15!
kabla sijaleft huko request zilikuwa kama 300 kwa siku.
 
Back
Top Bottom