Nimeshafika Selena hotel......

Ila fb ina post za ajabu sana. Hii yote kwasababu haina complication kwenye sign up
 
Ndiyo maana mimi facebook huwa siitaki kabisa yaani lugha yenyewe mbovu pamoja na kuwa ni Kiswahili
Pitia kule kucheka na kuona uelewa wa wenzio upoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…