Holly Rich
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 901
- 1,423
Nimsaidie Kujibu Kuna baadhi ya Wanawake wanaudhi sana kiasi kwamba maisha yako na watoto kama mnao yanaharibika Kabisa...!! Ujue hakuna Kitu kibaya kama break up. Hasa ikiwa uliweka Kila Kitu Ili Relation idumu milele...!!!Eeehh mkuu
Samahan kuuliza lakini
Why are you so negative about love thing
Kupitia tu threads zako... unaponda sana mahusiano na ndoa
Kuna kitu ushapitia au
Weren’t your parents married?????



Et leo naenda kwa mwanaume usinitext??