Wala hata usiseme Samahani
Nilikua napita pita mahali , sasa nmepata muda Ngoja nikujibu...nakujibu kwa sababu kubwa moja

HUWA SIRUHUSU KAULI YA MWISHO YA MTU IJARIBU KUNIPAKA UONGO ".
Kiongozi wa familia yetu( Baba) ni PROF mwajiriwa wa serikali ktk Chuo kkuu kimoja hapa TZ na mkufunzi wa vyuo vikuu kadhaa..
Bi mkubwa ( sitamgusia) .
Kwetu tumezaliwa wengi sitowazungumzia ndugu zangu, ila Tulichagua kusoma kwa sababi Elimu ndio Urithi muhim wa Baba kwa wanawe na, Ninawapongeze wazazi wangu kwakua walisema" Anayetaka kusoma atasomeshwa anapotaka.. Kwa ufupi Mkubwa wetu amemaliza PhD yake Japan.
Na mdogo wa mwisho, yupo Mzumbe anafanya Sheria.
Katika usomaji wetu mpaka tunamaliza masomo ya vyuo vikuu, hamna hata mtoto mmoja aliyesoma shule za serikali ,hayupo hata mmoja...hivo sijawahi hata siku moja kupitia maisha ya mateso na kuumizwa sijui nn, sijawahiiii sijawahiiii hata

( NA VIJANA WENZANGU KAMA UNAHELA, USIPELEKE MTOTO WAKO SHULE YA SERIKALI).
KITABIA, NADHAN KAMA NI KULELEWA WAZAZI WANGU WALIJITAHIDI SANA KUTUISHI KATIKA MAISHA YA DINI SANA SANAAAA , NA HII NDIO SABABU TUMEKUA TUKIZUNGUMZWA VIZURI NDANI YA JAMII.
( Kwa hivo, usirudie kuhisianisha Ninachokiandika humu na malezi toka kwa Baba na Mama yangu)
Kuhusu kabila.
Mimi ni MSUKUMA, , Mfuasi wa mfumo Dume yaan ,mimi kwangu namuishi mwanamke kama ambavyo Biblia inaniongoza, sio mkorofi wala sio mgonvi .( ndio maana ninawatukana nyinyi wanaume mnaolia lia humu sababu ya wanawake kwa uzembe wenu na uzwazwa wenu na uzoba wenu wa kushindwa kujua MIPAKA YA UANAUME WENU).

Binafsi ni DAKTARI DARAJA LA PILI ( hujui tu inakuchukua nn mpaka kumaliza safari ya miaka mitano ) ,NINA VITEGA UCHUMI VYANGU, VINAVYONIPA MIA MIA KILA SIKU IVO sina njaaaaaa, sina shidaa, siwez kukopa mtu, nikikopa nakopa Taasisi za kifedha kwaajili ya mipango yangu ya maisha.

Huku nje , ni wale vijana ambao watu watakuzungumzia hivi.." Kama unaenda pale, hakikisha unamuona Fulani "
Yaan wale vijana ambao, watu wanaenda baadae wanarudi kukushukuru
Ni Baba wa watoto, watoto wazuriiiiiii mnoooo
Miaka yangu ni 29 ivo bado kijana mdogo , nikilinganisha Mafanikio yangu na Umri wangu, huwa namshukuru Muumbaji
CHOCHOTE NACHOKIANDIKA HUMU, NINAKIANDIKA KWA MAKUSUDI YA AKILI YANGU MWENYEWE WALA USIANZE KULINGANISHA FAMILIA.
HIVO NIKUSHAURI, USIJIKITE KUNIJUA , JIKITE NA NINACHOKIANDIKA , HUTAKI KUKIPOA, KIACHE.