E-mail ipi,yahoo?Gmail,hotmail au ya kazini?Habari zenu wadau,naomben msaada wenu kwani nimeisahau pasiwedi yangu ya email.je nifanyeje
jaza e-mail na password ikigoma click "I can't access my account" na ufuate maelekezo,kama ulijaza security question watakuuliza au kama uliweka alternative e-mail watakutumia link ya kureset password huko.ymail ni yangu
jaza e-mail na password ikigoma click "I can't access my account" na ufuate maelekezo,kama ulijaza security question watakuuliza au kama uliweka alternative e-mail watakutumia link ya kureset password huko.
kuna maswali waliniuliza.napo baadhi ya maswali majibu yake siyakumbuki.kwani iyo email niliifungua zamani
kuna maswali waliniuliza.napo baadhi ya maswali majibu yake siyakumbuki.kwani iyo email niliifungua zamani
Hiyo ndo immeenda. Anza kutumia password managers kama Lastpass.comkuna maswali waliniuliza.napo baadhi ya maswali majibu yake siyakumbuki.kwani iyo email niliifungua zamani
kuna maswali waliniuliza.napo baadhi ya maswali majibu yake siyakumbuki.kwani iyo email niliifungua zamani