Nimerusha m pesa wrong number

Jifanye Freemason....mwambie tumekuchagua wewe uwe mmoja wetu....na ujiandae kutoa kafala tutakayohiitaji mwisho wa mwaka huu.....bila Shaka atakurudishia na ya kutolea juu....
uyo kawah kuitoa ivyo atakuwa wa mjini tu
 
jamani saa sita usiku wakala gani anakuwa yupo wazi?
yeye anasema kuwa ameona ameshaitoa, kaonaje wakati hana uwezo wa kuona kama imetolewa?
kwanini tudanganyane?
Kwani kasema ameituma usiku huo kabla hajaandika huu uzi??
 
Pole sana mkuu, binadamu tumepoteza imani now days.
Binafsi nimetumiwa fedha kimakosa tangu jana saa tatu asubuhi, na baada ya masaa kumi kupita, niliamua kuja kutangaza humu ili kama kuna aliekosea nimrudishie pesa yake.
 
Abari wadau ? Naombeni ushauri nimetuma m pesa namba isiyo sahihi kuhamaki jamaa kashaitoa nawapigia voda wanasema hawana namna kashaitoa pesa kwaiyo hawawezi nisaidia, naombeni ushauri wadau ni 350,000
Nenda kwenye ofic zao hawezi kuchukua pesa ambayo sio yake lazima arudishe au mpigie huyo uliye mtumia hakuna wizi wa namna hiyo ndio maana namba zote zimesajiliwa. Mpigie kwanza uliye mwekea hizo pesa akikusumbua nenda polive
 
Vodacom Tanzania na mitandao mingine warudishe ule utaratibu wa kwenda na kitambulisho kwa wakala unapotoa pesa ili kuwasadia wanaokosea kutuma pesa kama hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…