Nimerusha m pesa wrong number

DOnoa

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2017
Posts
397
Reaction score
215
Abari wadau ? Naombeni ushauri nimetuma m pesa namba isiyo sahihi kuhamaki jamaa kashaitoa nawapigia voda wanasema hawana namna kashaitoa pesa kwaiyo hawawezi nisaidia, naombeni ushauri wadau ni 350,000
 
Jamani watu wana roho ngumuuuu...unatoaje hela ya mwenzio yote hiyo duuh
 
Abari wadau ? Naombeni ushauri nimetuma m pesa namba isiyo sahihi kuhamaki jamaa kashaitoa nawapigia voda wanasema hawana namna kashaitoa pesa kwaiyo hawawezi nisaidia, naombeni ushauri wadau ni 350,000

Kuhamaki kaishatoa .

Ukawapigia voda wakakuambia imetolewa.

350000 si haba.

Pole...
 
Jifanye Freemason....mwambie tumekuchagua wewe uwe mmoja wetu....na ujiandae kutoa kafala tutakayohiitaji mwisho wa mwaka huu.....bila Shaka atakurudishia na ya kutolea juu....
 
Jaribu kumtafta uliyemrushia akupe hata nusu hela, pole sana
 
Nenda ktk vituo vyao maalumu vya voda ukiwa na. Barua ya polisi na hio namba ulioitumia pesa kimakosa
Watakutolea print out ya hio namba na pamoja na kitambulisho chake na picha yake huyo mwizi
Kwasbb voda haisajili kiholeka bila ya kupigwa pic na kitambulisho chako
 
Jifanye Freemason....mwambie tumekuchagua wewe uwe mmoja wetu....na ujiandae kutoa kafala tutakayohiitaji mwisho wa mwaka huu.....bila Shaka atakurudishia na ya kutolea juu....
Kwa jinsi vyuma vilivyokaza,hakuna tena wa kubabaishwa na huo mkwara mbuzi.
 
JF ni jungu kuu,utapata tu msaada hapa. Nakumbuka Ushimen aliwahi kusaidiwa kupata pesa yake,alipata tatizo kama lako. Jaribu kuwasiliana naye anaweza kukupa mwanga.
 
Da ndo Yule jamaa alie niomba ushauri Jana nini? Hebu weka Namba uliyoitumia
 
Kuna siku nlitumiwa Laki moja na mtu nisiemjua afuu nlikuwa nina hali mbaya Kishenzi...! Sikuitoa ilee helaa lakini baadae nlikuja kushangaa Ilee hela ilirudishwa afu Jina la mtu aliekosea Lilikuwa la Ndugu yangu mtoto wa ba mkubwa.. Sikuwahi mtafuta ila mpaka kesho huwa najiuliza maswali mengi sana.. polee sana kijana sometimes ukute hata Huyo jamaa hiyo helaa hajaitoa ebu jaribu kumtafutaa uone inakuwaje... Maana voda nao janja janja sanaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…