Abari wadau ? Naombeni ushauri nimetuma m pesa namba isiyo sahihi kuhamaki jamaa kashaitoa nawapigia voda wanasema hawana namna kashaitoa pesa kwaiyo hawawezi nisaidia, naombeni ushauri wadau ni 350,000
Aisee!Nenda kwa mganga,,umtoe mkia

Kwa jinsi vyuma vilivyokaza,hakuna tena wa kubabaishwa na huo mkwara mbuzi.Jifanye Freemason....mwambie tumekuchagua wewe uwe mmoja wetu....na ujiandae kutoa kafala tutakayohiitaji mwisho wa mwaka huu.....bila Shaka atakurudishia na ya kutolea juu....
Kama umeirusha idake