KURUDISHWA KAZINI BAADA YA KUSIMAMISHWA KAZ NA KUSHITAKIWA
[emoji1371]Baada ya kusimamishwa kazi takriban miezi 6 kasoro na kipind chote nilikuw na pokea ½mshahara tena mshahar ambao Ndan yake kuna mkopo
[emoji1371]Nimerudishwa kazin maamuz ya kamat ya nidhamu niendelee kupokea ½ mshahara kwa miez 6🥹🥹 ijayo nikiw chini ya uangaliz sambamba na kuvuliw madaraka
[emoji3525][emoji53]Kosa langu lilikuw kutokukamalza kaz niliyopewa na mwajiri wangu mimi nikiw kama msimamiz/kiongoz katika taasi x.
[emoji52]🫤Pamoja na mimi kushindw kutimiza Majukum yangu lakin jukumu husika hilo lilikuw na kasoro/kutotimizwa ipasavyo na watanguliz /VIONGOZI/ watendaji ambao walitumikia nafas hiyo kwa mwaka 2018/2019 wakat mimi nimehamia hapo 2021december nwishon kupelekea kutokuw data/Taarfa kweny mfumo
[emoji1600]Nmejifunz katik nafas za uongoz/uteuzi zinawez kuw mwiba kwenye ajira yako direct .
[emoji1600]Kwa sasa na kuendelea hata ikitokea nimeteulew katik nafas niliyotoka nitaikwepa kwa sababu za msing bila wao kujua nitatak kuw staff officer wa kawaida tuu
[emoji1600]Uongoz ni msalaba kwakuw kesi ikija wew ndio mwenye dhaman na hatakama ulifanya na subordinate wako hawatohusishwa na kuwajibishwa mzgo wote utaubeba wew
[emoji855]Unapokuw umefukuzw kaz/ umepata changamoto kazn marafk zetu wanabak ni wale wa mtaan ambao kila siku wao tunawaona hawana mbele wa Nyuma
[emoji56]Tunapokuw kazin tuwe makin sana kwakuw kuna uwezekano mdogo sana unaofanya nao kaz kutokuw na msaada na wew zaid ya kijeli hasa kama ulishawatangulia kimaisha
[emoji28]Hakuna urafk kazini/ wale niwafanyakaz wenzio
[emoji2389][emoji2388][emoji1377]Tuweke akiba katik pato letu la siku/wiki/mwez
[emoji736]Pamoja na Changamoto ya kazi ila mwaka jan ndio mwaka ambao nimepata pesa nyingi katika mishe zangu za nje ya ajira
[emoji3595]ILa mwaka huu naona kbsa uchumi wangu umedolola[emoji336][emoji390] ila mungu yupo