Nimerudi toka safari nakuta mpenzi wangu anakisonono

ni zahanati ya doctor anayefanya kariuki na anavipimo na vipimo vimeonesha ana vidudu vya gono

Kuna jamaa yangu mmoja alishawahi kuugua gonjwa kama hilo kwa muda wa miaka 3 huku akipewa matibabu toka kwa madaktari bingwa wa muhimbili lakini hakuweza kupona na vipimo vilikuwa vina soma kuwa ana gono tena baya. Yule jamaa kuja kufuatilia kumbe halikuwa gono la kawaida na wala hakulipata kwa ngono, hivyo nakushauri usimuhukumu moja kwa moja mkeo yawezekana kuna kitu nyuma yenu
 
Mmmh, kama hauna mapenzi ya dhati nae muache kwa amani zote, ila kama unampenda muuguze apone kabisa.. Sababu yote yanawezekana kwamba huenda hata wewe unao huo ugonjwa kwa maelezo yako. Au ulisafiri zaidi ya nusu mwaka kiasi ukute mwenzio hadi usaha! Hapana.. Em jichunguzen

Kwani ugonjwa wa kisonono huchukua muda gani tangu mtu aupate hadi usaha uanze kutoka?
 
Kamkubwa hapo hata usijiulize mara mbili kinachofuata hapo ni miUKIMWI cha kufanya ni.....:llama::llama::llama::llama::llama:ndukiii......ukishangaashangaa kitakacho kukuta ni hiki....



HIV/UKIMWI
images
 
Wahenga wanasema ndege wafananao huruka pamoja.....huwezi kumkuta njiwa kwenye kundi la kunguru...
Wakubwa wameshanielewa...

Ha ha ha! Mashairi ya Vijana Jazz hayo- Uliona wapi Bundi kwenye kundi la Njiwa, Dunia haina siri, mwenyew watambua!

By the way yaan kawa mchafu hata kucheat kwa mipira kashindwa yaani huyo ni full kimeo! Achana nae, wapo wengi tu!
 
Back
Top Bottom