Nimerudi toka safari nakuta mpenzi wangu anakisonono

Ugonjwa wa zinaa mpaka uoneshe dalili kama hizi ujue ni wa muda mrefu mpime wote na jicheki vizuri sana
 
Wahenga wanasema ndege wafananao huruka pamoja.....huwezi kumkuta njiwa kwenye kundi la kunguru...
Wakubwa wameshanielewa...
 
habari haijakamilika, haujatuambia kama na wewe ulipima ukajikuta hauna huo ugonjwa au vipi?! kama hauna hapo sawa...!!
 
tumecheki ngoma bado hajapata,ila hasemi alikopata kisonono

Hawakuambia mrudi baada ya miezi 3, sasa unajihakikishiaje kuwa hana ilhali miezi mitatu bado. Kisonono huonekana baada ya siku 3, ngoma baada ya miezi mitatu. Mbona unanf'ang'ania au na wewe ni mwendo kama huo huo, tena mtu mwenyewe mpenzi sio mke au mume !!! Hata kama angekuwa mume au mke, miye ningeshapiga chini, hata huko hospitali nicngeenda.
 
Usiwe na maamuzi ya haraka kwani utakuja kujuta, tulia fanya uchunguzi yakiknifu ili uwe na maamuzi yaliyo sahihi. Inawezekana yale madawa ya uzazi wa mpango yamemletea athari maana siku hizi wengi sana wanaotumia hayo madwa wanapata infection kwenye mbunye zao na hata kupelekea kuwaambukiza waume zao. Saw umepima yawezekana na vizahanati vya uchochoroni wanatoa majibu ya haraka haraka tu.
 
Wanaume wengine mna roho yaani unamkuta mwenzio ana kisonono halafu halafu bado unataka ushauri nini cha kufanaya! Sasa subiri akuletee na PANGUSA ikakupanguse hiyo dushelele yako sijui utakuwa mgeni wa nani hapa mjini
 
habari haijakamilika, haujatuambia kama na wewe ulipima ukajikuta hauna huo ugonjwa au vipi?! kama hauna hapo sawa...!!

nmepima sina, nilifika nyumbani nikitokea znz ambako nilikuwa kikazi nikaja na boti ya asubuhi nikafika saa tatu ,kwenye saa nne niko geto, nilikuwa na kaukame sasa nilipofika nikamvua ili kuanza romance nikaona hali ile, nikasizi tukaenda dispensari kucheki ndio yeye akaonekana ni kisonono mi sina na nimetoka kwa miezi miwili na wiki kadhaa ndio nimerudi dar.
 
Usiwe na maamuzi ya haraka kwani utakuja kujuta, tulia fanya uchunguzi yakiknifu ili uwe na maamuzi yaliyo sahihi. Inawezekana yale madawa ya uzazi wa mpango yamemletea athari maana siku hizi wengi sana wanaotumia hayo madwa wanapata infection kwenye mbunye zao na hata kupelekea kuwaambukiza waume zao. Saw umepima yawezekana na vizahanati vya uchochoroni wanatoa majibu ya haraka haraka tu.

ni zahanati ya doctor anayefanya kariuki na anavipimo na vipimo vimeonesha ana vidudu vya gono
 
Naombeni ushauri jamani huyu mtu ni mwaminifu kweli? nimetoka safari leo nakuta sehemu zake za siri zinatoa maji meupe(usaha) tumepima leo kaonekana ana kisono, sasa najiuliza nifanyeje nimuache au nifanyeje?

Kabla hujamuacha umechukua hatua za kumhoji kulikoni amekumbwa na hilo gonjwa?
 
Kabla hujamuacha umechukua hatua za kumhoji kulikoni amekumbwa na hilo gonjwa?

alisema rafiki yake wa kike alimuomba kwenda kumsalimia boyfriend wake walipofika huko akaka sebuleni wao wakawa chumbani na pale kuna kijana mwingine akamdanganya kwa siku hiyo.na akasema huyo rafiki yake wa kike toka siku hiyo alivunja nae urafiki
 
Back
Top Bottom