Nimerudi toka safari nakuta mpenzi wangu anakisonono

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,470
1,225
Naombeni ushauri jamani huyu mtu ni mwaminifu kweli? nimetoka safari leo nakuta sehemu zake za siri zinatoa maji meupe(usaha) tumepima leo kaonekana ana kisono, sasa najiuliza nifanyeje nimuache au nifanyeje?
 

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
195
Kwani mara ya kwanza ulimkuta bikra? Kama jbu lako ni hapana, basi msamehe bure
 

Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,589
2,000
Hapo suluhisho mkuu ni Kuokoka . Pia msamehe bure, muanze maisha mapya mkiwa ndani ya Yesu Kristo. Yeye atawawezesha kuzishinda tamaa na kuachana na michepuko.
 

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,351
2,000
hapo ndo mwsho wakuishi namie inaonesha ni jinsi gani amenidharau kupita kiasi
 

Kizungo

Member
Nov 15, 2014
56
0
Mkuu tpmazembe! hata kama ukipenda chongo unaita kengeza macho hayaoni? timua kama yule dem mapepe wa kingwendu! na chupi mkononi mana huyo aliivulia stendi akaivalie hukohuko!
 

Untie

Member
Dec 3, 2014
74
0
Mmmh, kama hauna mapenzi ya dhati nae muache kwa amani zote, ila kama unampenda muuguze apone kabisa.. Sababu yote yanawezekana kwamba huenda hata wewe unao huo ugonjwa kwa maelezo yako. Au ulisafiri zaidi ya nusu mwaka kiasi ukute mwenzio hadi usaha! Hapana.. Em jichunguzen
 

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,406
2,000
Naombeni ushauri jamani huyu mtu ni mwaminifu kweli? nimetoka safari leo nakuta sehemu zake za siri zinatoa maji meupe(usaha) tumepima leo kaonekana ana kisono, sasa najiuliza nifanyeje nimuache au nifanyeje?

Kwanza jiulize we mwenyewe mwaminifu?? Kama hujawahi kucheat basi chukua hatua stahiki!!! Ila kama ulishawahi kucheat basi kampatie matibabu then nawe kula kwa nafasi yako....!!!
 

mukulupapaa

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
2,932
2,000
hapo ndo mwsho wakuishi namie inaonesha ni jinsi gani amenidharau kupita kiasi

Na hafai hata kwa kulumangia,though wanasema ukioa mwanamke asiye bikra,umeoa mke wa mtu lakin huyo kazidi mjomba piga chini faster akajiuguze na aliyempa,kwanza mashart ya kutibu huo ugonjwa ni kwenda na aliyekupa sasa yeye alienda na nani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom