Nimerudi tena wenye wivu wajinyonge

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Niliwamisi sana hapa jamvini, nilipigwa bann ya siku 30 tangu 19/12/2011-19/01/2012. Nawashukuru sana wale wote walionimic pia ng ninawatakia heri ya krismas na mwaka mpya. Habari zenyuuuuu hap to b back again.
 
karibu kidogo
mi nadhani ubadilike uwe 'wa kuandika'
hutabaniwa
 
Niliwamisi sana hapa jamvini, nilipigwa bann ya siku 30 tangu 19/12/2011-19/01/2012. Nawashukuru sana wale wote walionimic pia ng ninawatakia heri ya krismas na mwaka mpya. Habari zenyuuuuu hap to b back again.

karibu tena wa kwetu,kuteleza si kuanguka!
 
Hiyo title tu ndo umekosea...kuna mwenye kukuonea wivu kweli hapa?? I doubt!! Nways welcome back...
 
Sasa nani anakuonea wivu?? Mie hata sikujua kama haupo na hii ID ndo kwanza naiona leo..................

Wewe ungesema umetoka kwenye BAN mambo ya wivu yanatoka wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…