Wakuu, pitieni hapa. Nawasilisha

kayanda01

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,142
971
Heshima kwenu wakuu, hopefully mu wazima wa afya.

Moja kwa moja kwenye dhima ya bandiko hili:

Nina ndugu yangu ambae anahitaji sana kupata kazi maeneo ya Dar. Mimi binafsi sina uwezo wala nafasi ya kumsaidia hitaji lake hilo, yeye pia anaendelea kuhangaika kutafuta. Kwakweli tumetokea familia yenye background ngumu sana kimaisha, hatuna mtu yeyote wa kutushika mkono kwakweli. Leo ndipo nafsi ikaniambia nijaribu kumuwekea ombi lake hapa JF, pengine anaweza pata msaada maana humu kuna watu mbali mbali wenye uwezo tofauti tofauti. Pia watu hupata support za kimaisha kupitia hii hii mitandao ya kijamii.

Jinsi yake: KE
Umri wake: 26
Elimu yake: Diploma in Development Planning (Alihitimu Chuo cha Mipango Dodoma, 2013)
Uzoefu wa kazi: 2014 mpaka sasa ni WAREHOUSE/STOCK OFFICER kwenye kiwanda fulani (private sector) kilichopo Moshi.
Ujuzi mwingine: Anaweza kutumia computer applications kama vile MS Word, Excel, Power-Point, Email / Internet.
Ziada: Ni mchapa kazi sana na muadilifu.

Iwe ni kiwandani, kwenye kampuni, mashirika binafsi, au serikalini, n.k. Cha msingi duty station iwe ni Dar. Waungwana msaada wenu tafadhari, kwa yeyote mwenye uwezo/nafasi ktk hili, Sir God atamlipa kwa wema wake.

Ni hayo tu viongozi.

On her behalf, natanguliza shukrani za dhati.

Kayanda (kakijana).
 
Kaka mi nadhani huyo mdada haitaji kazi. Kama anahtaj kaz hawez kuwa too selective. Kwahiyo kozi atakuwa mtendaji wa kata au tarafa. so mwambie kuwa aaache u sista duu maana juz juz wame graduate zaid ya graduates 200 koz hyo hyo hapo IRDP.

Na kwenye hyo koz kinachomata saana ni how to do it. so kabla hajasahau mambo ya Strategic plan, Opportunity and Obstacles nk. ni boraa aombe kaz serikalin mapemaaaa.

Wapo waliojifanya kama yy lakin waliangukia pua ikabid waende digriii.

Kama kweeli kaka nyinyi hamna mtu wa kuwashika mkono mwambie aache utoto aombe kaz serikalin apanhiwe huko mchambawima apige kaz atajiongeza mbele kwa mbele.
 
Ni hayo tu viongozi.

Uyo hana shida ya kazi, eti cha msingi duty station iwe Dar, afu unasema mna shida ya kazi, kuna watu wanashida kaka
siku nyingine usiandike kama huu
 
Mwambie sister ako awache kushobokea mjini,hatofanikiwa,maisha popote, mbona alipata kazi Moshi na alifanya? Sasa iweje sasa lazima iwe Dar tu? Huyu kimsingi hayupo tyr kupiga kazi,watu wapo tyr hata kupiga kazi tz ndani ndani ukooo hata kuckokuwa na majina halfu yeye analeta uzuri.
 
Back
Top Bottom