kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 121
- 226
Wakuu kama kazi za ofisini bado hazipikani, basi naombeni hata za bandarini.
Nimeingia ajira portal kuangalia nafasi za kazi, nimetoka huko nduki.
Naombeni kazi, wale ma agents wa bandarini, sikieni basi hili ombi langu.
Msinichoke lakini.
Naombeni mnisaidie hata namna ya kupata kazi za agency pale bandarini, au mniunganishe hata na ndugu, jamaa au rafiki yako yeyote anishike mkono.