kuomba kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    JamiiForums Tanzania Naomba fursa ya kujitolea Shuleni, nimemaliza Biology na Geography Chuo

    Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu. Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi). Kwa kweli kwa sasa ninapitia kipindi kigumu sana cha kutafuta mahali pa kuanza maisha baada ya masomo yangu...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ongeza thamani yako; Sio unahangaika kuomba kazi kumbe kazi yenyewe hata ukipata utaishia kulipwa laki 3

    ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa. 2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
  3. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa vijana wa kuomba kazi TAKUKURU

    Wakuu nafasi zimetoka 500 kwa bachelor na diploma naomba Uzi huu uwe maalumu kupeana abc za taratibu za kuomba ajira nk
  4. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi St Peters. Vigezo vyangu ni hivi hapa

    MImi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka kati ya 30-40. Sasa nimekua nikisikia kua St Peters kuna watu wazito ingawa kwa kukadiria itakua ni watu wa usalama hivyo nilikua naomba kazi hapo Wasifu -Elimu ya degree yenye GPA yenye mgawanyo wa nusu kwa nusu na total GPA(5) -Nidhamu kidogo...
  5. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Msiache kujaribu kuomba kazi mara kwa mara

    Adverts Applied 8 Shortlisted 8 Interview Attended 5 Oral Interview Attended 1 Hiyo ni status yangu ya Ajira portal baada ya kumaliza chuo 2021 hadi 2025 niliiaply jumla ya kazi 8 na nikaitwa kufanya 8 ila mi nikauzulia kufanya 5 na 1 nikaotea...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Muda wa kuomba kazi waongezwa hadi Novemba 07

    Habarini, Zile AJIRA za uwalimu, afya na kada nyingine zimeongezewa muda wa kuomba hadi tarehe 7 Novemba
  7. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara

    Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
  8. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena kuomba kazi

    Wakuu kama kazi za ofisini bado hazipikani, basi naombeni hata za bandarini. Nimeingia ajira portal kuangalia nafasi za kazi, nimetoka huko nduki. Naombeni kazi, wale ma agents wa bandarini, sikieni basi hili ombi langu. Msinichoke lakini. Naombeni mnisaidie hata namna ya kupata kazi za...
  9. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuomba kazi ajira au kibarua

    NAOMBA NAFASI YA KAZI Habari, wakuu Mimi ni kijana mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu ya kazi. Ingawa sina elimu ya vyeti, nina uwezo mzuri wa kujifunza kwa haraka na kufanya kazi kwa bidii. Natafuta kazi ya aina yoyote halali kama: Usafi wa ofisi Kazi za ndani Kusaidia mafundi...
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi ndani ya mkoa wa MBEYA

    Habari ndugu zangu wa Jammi Forum, mimi ni kijana wa miaka 29, mwenye uzoefu wa kusimamia watu na tasisii kwa miaka 7, saizi sina kazi, naomba kazi yoyote ndani ya mkoa wa Mbeya, kazi yoyote nipo tayari. Asante.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nipo Tanga

    Habari wakuu nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote ile. Kwa sasa nipo Mkoani Tanga lakini nipo tayari kufanya kazi kwenye mkoa wowote ule na kazi yoyote ile. Atayeguswa naomba anipe msaada kwenye Jambo hili. Asanteni
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu na udhaifu wa mfumo wa Ajira Portal

    Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
Back
Top Bottom