Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
unaona sasa mambo yako bado we mgeni tayari ushaanza kummezea mate ila karibu sana sisi tupo kote kote kwani ni kazi na dawa karipoti kwa rais wetu Arushaone atakupeleka kwa miss wetu Lady doctor tafadhali usimchombeze huyo mtoto kwani namzimia sana hadi sasa nimepeleka barua kwa ukoo wa watu8 cjajibiwa kwahiyo naomba itifaki izingatiwe.
A,a bado sijaolewa...wasinipeperushie njiwa wangu buree!
akikusikia mwenzio unamkana hapa kuwa hujaolewa,atakupiga mapanga.
Huko kwenye hizo ziara ndiko anakutana na akina mama mdogo
Sijala ban lakini chamtemakuni nilikuona...Kule ni kucheza na Ban mkononi! ndio maana Arushaone akimwambia Lady doctor waende wote, bibie hataki hata kuskia!
unaona sasa mambo yako bado we mgeni tayari ushaanza kummezea mate ila karibu sana sisi tupo kote kote kwani ni kazi na dawa karipoti kwa rais wetu Arushaone atakupeleka kwa miss wetu Lady doctor tafadhali usimchombeze huyo mtoto kwani namzimia sana hadi sasa nimepeleka barua kwa ukoo wa watu8 cjajibiwa kwahiyo naomba itifaki izingatiwe.
Habari za leo waungwana .....
Kichwa cha habari kinajinasibu chenyewe....Sasa nimeamua kurudi rasmi nyumbani....Baada ya kukaa kule Siasani nimeona ni mateso makali na stress zisizo isha....
Kwa moyo mkunjifu nimeama kurudi uwanja wangu wa nyumbani....
Nipokeeni mwanampotevu....
Cc: Erickb52 nahitaji mke na mimi...
Ha ha haaa poleee. Siasani ni hatare. karibu sana.
Wacha tuu mkuu Maeskron....Kule unatakiwa kuwa na moyo wa chuma ati...!!!
Waambie waelewe kuwa wewe ndiye first lady wao.