Nimerudi rasmi nyumbani Chit Chat...

Hivi bado babu Asprin ni mkaguzi....? Nataka list ya makontena mapya yote yaliyoingia huku nijichagulie...
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena

single ladies ndo mjitokeze hivoo..fursa hii
 
Karibu tena

single ladies ndo mjitokeze hivoo..fursa hii

Nimemwambia babu Asprini kama mkaguzi anipe list ya vigoli wote wapya...? Ngoja niende chap kule celebrity nikapige kura kwa Hisia...
 
Last edited by a moderator:
Aisee,kapige mara tano afu urudi
Nimemwambia babu Asprini kama mkaguzi anipe list ya vigoli wote wapya...? Ngoja niende chap kule celebrity nikapige kura kwa Hisia...
 
Last edited by a moderator:
hsante sana YNNAH ....Huko nitokako kwakweli sitaki hata kupasikia...
 
Last edited by a moderator:
couple za kule ni mwendo wa upinzani vs tawala, masalia/wapenda mabadilko vs wafahidhina, team Lowassa vs team Membe n.k kule hakutabiriki kabisa kule hadi wanandoa wa CC wanatofautiana ....si ajabu Madam B na Ben sanane wakatofautiana
Utakuwa umevurugwa kila mahali wewe..
 
pole sana mwana mpotevu
wamekukong'oli sasa umeona cc ndo sehemu
ya kutua mizigo yako, yaani ungebaki huko
mwaka mzima wangekufanya :A S-confused1::A S-confused1:
ila karibu bestito home kwako
hutopata mke washajaa huku ukome kwa
kuzurura hovyo bila hata kamba
 
unaona sasa mambo yako bado we mgeni tayari ushaanza kummezea mate ila karibu sana sisi tupo kote kote kwani ni kazi na dawa karipoti kwa rais wetu Arushaone atakupeleka kwa miss wetu Lady doctor tafadhali usimchombeze huyo mtoto kwani namzimia sana hadi sasa nimepeleka barua kwa ukoo wa watu8 cjajibiwa kwahiyo naomba itifaki izingatiwe.

Ahsante Honey.......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…