Sasa kwani siku hizi utaratibu wa ndoa ikoje hapa?
umeshindaje wife?
Baada ya kukosekana hapa kwa muda mrefu, ndugu zangu leo nimeona niwajulishe kuwa nimerudi rasmi na nitaendelea kuonekana mitaa hii ya nyumbani.....
nataraji ushirikiano mzuri. Nimeshtuka kuna baadhi wanauliza smilining saint
a.k.a wood pecker yuko wapi? napenda kuwajulisha ni mimi nipo na sasa naitwa Lucas.
Nawatakia siku njema
cc Erickb52, manoah, Mr Rocky, Arushaone, Asprin et al
Welcome back kamanda! Huyo aliyevaa red sijamtia machoni muda mrefu sana!!!
Whaaaaat??? Nakemea hilo pepo mara moja. Habati mzee wangu
umeshindaje wife?