Nimerudi...Nimeacha Ukorofi wote.......Born Again.............!!!

Kama rais nakutangazia kuwa umefutiwa dhambi zako zote.

Kwa kuwa umekiri kuwa mtu mwema, nitaongea na mwenyekiti wa mahusiano ndugu Erickb52 akufungishe ndoa na mlimbwende mmojawapo humu. (Usimzoee my love Lady doctor please)

Welcome on board.
 
Last edited by a moderator:

Wapeee wapee eeh vidonge vyao wakimeza wakitemaaa ni shauri yaoooo...!
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena Kiongozi !
Nilipoiona tu Id yako , kichwa yangu ikahamia Nairobi !
Niulize kwa nini? Refar last year December mimi nawe tuliwahi kukwazana ama kutofautiana lugha.
By that time mimi nilikua Nrb, ndo sababu ya kukumbuka.
Btw wana wa kiume mikwazano hapa na pale you never avoid.
Tusameheane kwa yaliopita.
Karibu mjengoni.
 
Nashukuru sana mkuu ....yep kama ulivyo sema mikwaruzano ipo katika maisha yetu yanayo tuzunguka kila siku..pamoja mkuu
 
Kama rais nakutangazia kuwa umefutiwa dhambi zako zote.

Kwa kuwa umekiri kuwa mtu mwema, nitaongea na mwenyekiti wa mahusiano ndugu Erickb52 akufungishe ndoa na mlimbwende mmojawapo humu. (Usimzoee my love Lady doctor please)

Welcome on board.

Nashukuru sana Rais wetu kwa busara zako....tunakuombea afya njema na utuongoze salama...msalimiea sana shemeji yangu Lady doctor ambaye bila yeye usingekuwepo madarakani mpaka sasa...asanteni sana!!!!!!

Naamini kwa sasa nitapata mke mwema tutakae endeleza maisha yetu hapa JF......Nawategemea wakuu kwa hili jambo jema....

Copy.
Arushaone Erickb52 Filipo LiverpoolFC PakaJimmy Kaizer Madame B Mrembo by Nature charminglady Lady doctor Evelyn Salt Arabela

Na wengineo..................................
 
Mtafute kiongozi Judgement atakurekebishia mambo yako hutakaa ujute mi saivi full shangwe....!
 
Last edited by a moderator:
kweli umebadilika mpaka unatoa maneno mema hapa mjengoni
ila inashangaza sana umewakumbuka hao !!!
Nashukuru sana Rais wetu kwa busara zako....tunakuombea afya njema na utuongoze salama...msalimiea sana shemeji yangu Lady doctor ambaye bila yeye usingekuwepo madarakani mpaka sasa...asanteni sana!!!!!!

Naamini kwa sasa nitapata mke mwema tutakae endeleza maisha yetu hapa JF......Nawategemea wakuu kwa hili jambo jema....

Copy.
Arushaone Erickb52 Filipo LiverpoolFC PakaJimmy Kaizer Madame B Mrembo by Nature charminglady Lady doctor Evelyn Salt Arabela

Na wengineo..................................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom