Nimerudi na majibu ya hosptal

Nimerudi na majibu ya hosptal

Naxria abdalla

Senior Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
158
Reaction score
281
Vipimo vyangu leo nimeenda hosptal kumpeleka yule mdogo wangu tukaeleza yale matatizo km nilivyoeleza apa baada ya hapo wakampima presha imesoma 122/73,sukari 4.6 ile hali anayoipata kwenye kifua wamesema ni gesi so wametupa dawa tutumie siku 4 then turudi hosptal.ahsant kwa ushauri wenu ila nazidi kupokea ushauri mwengine

Soma Pia: Kuhisi kama kuna kitu kizito kifuani upande wa kushoto
 
Vipendhy vyangu leo nimeenda hosptal kumpeleka yule mdogo wangu tukaeleza yale matatizo km nilivyoeleza apa baada ya hapo wakampima presha imesoma 122/73,sukari 4.6 ile hali anayoipata kwenye kifua wamesema ni gesi so wametupa dawa tutumie siku 4 then turudi hosptal.ahsant kwa ushauri wenu ila nazidi kupokea ushauri mwengine
122/73 ni normal, hayo maelezo ya daktari kayafanyieni kazi na M/Mungu atafanya yake na bwana mdogo atapata afueni bila shaka.
 
Wamesema hiyo gesi imesababishwa na nini?

Wamekupa dawa gani?
 
Mm pia uwa napata shida kama iyo immediately nikinywa soda, pipi au biskuti
Niliacha hayo maviru kitambo na kwa sasa niko poa
 
Afanye zero carb diet, atakuwa poa kabisa. Chakula ni dawa.
 
Back
Top Bottom