Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Hii kitu tamu sana
Mambo ya Tusker na kuku kwa mrija huku ukitia kachumbari!!!....
Before.....
After....
Hii ugali ndio yenyewe kwa sisi Wazarama
Mkuu inaoneka ulikaribishwa vizuri sana.
Hii redio ilinicha hoi kule uswahilini...watu bado wanasikiliza tepu aisee!!!
Hii mkuu bado inafanya kazi?
Wifi yenu alishangaa kumuona housegeli wa bro anapiga dobi kwa mkono. Aliniuliza "There is no washer and dryer?"...ikabidi nimkumbushe tuko wapi!...LOLz.
Mkuu welcome back. Simchezo tulimiss sana michango yako sana sana kwenye jukwaa la michezo.Naona ulichukua vacation wakati muafaka (chelsea ilikuwa mahututi)lol.
Safi sana mkuu kuona uli-enjoy vacation yako na umerudi kwa kishindo. Karibu tuendeleza upinzani.