Nimerudi leo hii kama nilivowahadithia kisa cha shemeji yangu Catherine kumpiga risasi mbili za kifuani mumewe, hatimae tumezika na nimemtembelea Cath gerezani amelia kwa uchungu sana na kujuta.
Lakini funzo kubwa wanaume tuache michepuko hata kama unaifanya basi tuifanye kimya kimya sana kwa heshima kwan mwanamke ukisha mheshimu hata kama utapiga mechi za nje kwa siri hawana tatizo sasa nimejifunza pia uaminifu katika ndoa ni muhimu sana.