Nimerudi kutoka pale Botswana kumzika rafiki yangu

Pamoja na hiyo Qur'an, Dini inaruhusu kuoa mpaka wanawake wanne.

Ni dini lakini si michepuko. Dini haijaruhusu michepuko, yote halalisha kama dini yako inaruhusu. Kitendo cha kuchepuka ni kukosa heshima kwako na mke wako!! Tuache unafiki kwa suala hili, yaani unamchekea mwenzio na treat za kinafiki. Uzinzi ni noma sana na inaharibu mno inapojulikana.
 
Nimerudi leo hii kama nilivowahadithia kisa cha shemeji yangu Catherine kumpiga risasi mbili za kifuani mumewe, hatimae tumezika na nimemtembelea Cath gerezani amelia kwa uchungu sana na kujuta.

Lakini funzo kubwa wanaume tuache michepuko hata kama unaifanya basi tuifanye kimya kimya sana kwa heshima kwan mwanamke ukisha mheshimu hata kama utapiga mechi za nje kwa siri hawana tatizo sasa nimejifunza pia uaminifu katika ndoa ni muhimu sana.
Pole sana mkuu Arovera, laiti tungelijua kuwa malipo kwa matendo yetu mabaya yanaweza kuwa mabaya sana. Sidhani kama huyu ndugu yako alitegemea kuwa siku moja reaction ya mkewe ingemwondoa uhai. Ni fundisho sana kwetu sote wake kwa waume kuwa mchepuko siyo dili kabisa ni upotevu wa mambo mengi ikiwemo amani na upendo kati ya waliopendana na sasa wanaanza kuumizana.
 
kaka Huyo jamaa anaitwa nani?, ni mbongo hope, alikuwa anaishi mji gani?
huyo mkewe nae ni mbongo?

sijasikia hiki kisa kaka
 
Mkuu sisi wanaume hatuwezi kuacha kabisa michepuko kwa sababu tukifanya hivyo wanawake wengi hawatapata fursa ya kutumia viungo vyao vya uzazi.Hii ni kwasababu wanawake ni wengi sana kuliko wanaume ktk hii TZ yetu (Rejea sensa ya 2012).Cha msingi ni kuwa makini sana wakati unachepuka kwa kufanya vitu vitatu. 1.uchepuke kwa siri sana 2.Jikinge na Magonjwa ya zinaa 3.Ihudumie familia yako vizuri.

Sensa imewahesabu wanawake wote kwa jumla lakini age ya above 60 yrs wanawake wengi ni wajane yaani waliolewa waume wamekufa ila chini ya huo umri mbona wanaume wanatosha kabisa. So ishini kwa kumpendeza Mungu ili muishi maisha marefu mzeeke na wakr zenu na si kuwaacha wajane.
 
Nimerudi leo hii kama nilivowahadithia kisa cha shemeji yangu Catherine kumpiga risasi mbili za kifuani mumewe, hatimae tumezika na nimemtembelea Cath gerezani amelia kwa uchungu sana na kujuta.

Lakini funzo kubwa wanaume tuache michepuko hata kama unaifanya basi tuifanye kimya kimya sana kwa heshima kwan mwanamke ukisha mheshimu hata kama utapiga mechi za nje kwa siri hawana tatizo sasa nimejifunza pia uaminifu katika ndoa ni muhimu sana.

Mimi michepuko siachi na mwanamke haniambii kitu,kama vipi aende kwao,utamwogopaje mwanamke ambaye ameumbwa kutoka ubavu wako??? Mwanamke hata awe na AK 47 hawezi kuniuwa.
 
Michepuko siyo dili,siyo mfanye kwa siri ni kwamba muache kabisa madhara ni mengi kuliko faida,kila mtu aridhike na kile alichonacho.
 
kaka Huyo jamaa anaitwa nani?, ni mbongo hope, alikuwa anaishi mji gani?
huyo mkewe nae ni mbongo?

sijasikia hiki kisa kaka

anaitwa Ndlamin Paul, wewe upo mji gani hapo kati ya Gaborone, Fransic town,Molepolole, Serowe, Selibe Phikwe, Maun, Kanye , mahalapye?
Sio mbongo ni mbotswana aliekua anaishi Joeburg.
 
Michepuko siyo dili,siyo mfanye kwa siri ni kwamba muache kabisa madhara ni mengi kuliko faida,kila mtu aridhike na kile alichonacho.

haswaaa kauacha mioyo ya tamaa ndo dawa na tiba kwa ndoa nyingi
 
Mimi michepuko siachi na mwanamke haniambii kitu,kama vipi aende kwao,utamwogopaje mwanamke ambaye ameumbwa kutoka ubavu wako??? Mwanamke hata awe na AK 47 hawezi kuniuwa.

duu hauokopi aseee? Kweli wewe rho ngum sana
 
Pole sana mkuu Arovera, laiti tungelijua kuwa malipo kwa matendo yetu mabaya yanaweza kuwa mabaya sana. Sidhani kama huyu ndugu yako alitegemea kuwa siku moja reaction ya mkewe ingemwondoa uhai. Ni fundisho sana kwetu sote wake kwa waume kuwa mchepuko siyo dili kabisa ni upotevu wa mambo mengi ikiwemo amani na upendo kati ya waliopendana na sasa wanaanza kuumizana.

asante sana mkuu Zogwale ndo hayo yaliyotokea
 
anaitwa Ndlamin Paul, wewe upo mji gani hapo kati ya Gaborone, Fransic town,Molepolole, Serowe, Selibe Phikwe, Maun, Kanye , mahalapye?
Sio mbongo ni mbotswana aliekua anaishi Joeburg.

Dumela muto wa modimo,

du nilizani mbongo, na nikawa nashangaa sijasikia, kote huko kwangu kaka, labda tunajuana
 
yawezekana aseee wanasemaje watoto na michepuke ya kiswana isiyookopa HIV?
 
ukishakuoa inakua sio zinaa tena mkuu...ni official wife..family na jamii yote inakua inajua....hakuna kukashifiana..au hujui kumvulia nguo mtu ambae sio mkeo/mumeo ni kujikashif...asipovutiwa na wewe...utakua ndo uko uchi machoni mwako na ndani ya moyo...

"It has been made permissible for you the night preceding fasting to go to your wives [for sexual relations]. They are clothing for you and you are clothing for them. Allah knows that you used to deceive yourselves, so He accepted your repentance and forgave you. So now, have relations with them and seek that which Allah has decreed for you. And eat and drink until the white thread of dawn becomes distinct to you from the black thread [of night]. Then complete the fast until the sunset. And do not have relations with them as long as you are staying for worship in the mosques. These are the limits [set by] Allah , so do not approach them. Thus does Allah make clear His ordinances to the people that they may become righteous"
 
anaitwa Ndlamin Paul, wewe upo mji gani hapo kati ya Gaborone, Fransic town,Molepolole, Serowe, Selibe Phikwe, Maun, Kanye , mahalapye?
Sio mbongo ni mbotswana aliekua anaishi Joeburg.

Mkuu pole, ishu za michepuko balaa sana. So huyo shemeji ndio anaozea jela?

Salimia huko, nlikuwa na mchepuko mmoja zamani kijiji kimoja kinaitwa Otse nyuma ya Police college on the way to Lobatse! Duh umenikumbusha mkuu😗
 
Mkuu pole, ishu za michepuko balaa sana. So huyo shemeji ndio anaozea jela?

Salimia huko, nlikuwa na mchepuko mmoja zamani kijiji kimoja kinaitwa Otse nyuma ya Police college on the way to Lobatse! Duh umenikumbusha mkuu

Umenikumbusha Otse hilo eneo kuna mbongo mwenzetu Twise Mziray aliuliwa hapo na demu wake wa Kitswana,
mambo ya Mokolodi lion park,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom