Nimerudi kundini

Nimerudi kundini

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2011
Posts
2,414
Reaction score
1,216
Jaman wanajamvi wa Jukwaa la MMU mm mwana mpotevu, natangaza kurudi rasmi katika jukwaa ili kama ilivyo kua awal!
Naomben mnipokee
 
Mtafute lara1 ndo mwenyeketi au kimpata snowhite pia atakusaidia......ila omba usikutane na mtambuzi
 
honestly sikugundua kama ulipotea, imebidi niingie kwenye profile yako ndipo nikakumbuka uzi wako wa usumbufu wa watoto bikra.
 
honestly sikugundua kama ulipotea, imebidi niingie kwenye profile yako ndipo nikakumbuka uzi wako wa usumbufu wa watoto bikra.

kweli unanikumbuka vzur, shule imenibana kwa kwel!
 
honestly sikugundua kama ulipotea, imebidi niingie kwenye profile yako ndipo nikakumbuka uzi wako wa usumbufu wa watoto bikra.
Bora wewe umekumbuka hata hiyo moja.
Anyway, karibu sana mtoa mada 🙂
 
Back
Top Bottom