mpeleke sehemu nzuri kama hoteli moja nzuri yenye utulivu,mkiwa wawili tu mmeorder dinner ndio upige goti na kumvalisha na kumwomba ruhusa uwe mumewe....all the best.
Zipo nzuri za bei hiyo Milimani City. Sheria ya pete ni kwamba inatakiwa kua around 1/8 ya salary yako ya mwaka. Mfano, kama una pokea laki 2 kwa mwezi, annua salary ni 2.4 million, huvo pete inatakiwa kua laki 4 (at least)... Si unajua wazungu hawatoi mahari? huo ndio mtihani mkubwa kwa wanaume wanao taka kuoa.
Ni bora zaidi kumfanyia surprise kuliko kumtaarifu.
Kila la kheri!
Mangapi hakufanya babu yako na wewe leo hii unafanya?Wanadamu bana,sijui kama babu yangu wa 20 alimvisha pete bibi yangu wa wakati huo!Na waliishi miaka 135 mpaka walipofariki,na walikua pamoja,sijui pete inasimama badala ya nini hasa,au ipo kwa ajili ya nini hasa!
Kaka ushauri pekee katoe mahali tamaduni zetu zipo kushoto sana...wakati unatoa mahali ndipo unapozihirisha upendo wako kwake kwa kumvika pete mbele ya familia yake na hapo unakua na kama 6months za kujiandaa na harusi mkuu
Ok ntaenda kuziangalia cc walau iwe 10% of the salaryZipo nzuri za bei hiyo Milimani City. Sheria ya pete ni kwamba inatakiwa kua around 1/8 ya salary yako ya mwaka. Mfano, kama una pokea laki 2 kwa mwezi, annua salary ni 2.4 million, huvo pete inatakiwa kua laki 4 (at least)... Si unajua wazungu hawatoi mahari? huo ndio mtihani mkubwa kwa wanaume wanao taka kuoa.
Ni bora zaidi kumfanyia surprise kuliko kumtaarifu.
Kila la kheri!
pete? Pete ya 100,000? Gramu ya pete miezi 2 iliyopita ilikuwa 105,000-115,000 unless ishuke sasa, au ununue iliyochakachuliwa.
Jipange.
Umetoa mahari? Au unamvika tu kienyeji? Kama hujatoa mahari haileti uzito. Kajitambulishe kwao. All the best.
Mapenzi mkuuu.. na heshima ya ndoa muhimu kuzingatiwa teteeeeeehMkuu,acha kugharamikia kitu ambacho tutakuja kusaidiana kukigonga huku kitaa,nenda kwa wamachinga kanunue za jero jero zimejaa nying tu.
Mangapi hakufanya babu yako na wewe leo hii unafanya?
mpeleke sehemu nzuri kama hoteli moja nzuri yenye utulivu,mkiwa wawili tu mmeorder dinner ndio upige goti na kumvalisha na kumwomba ruhusa uwe mumewe....all the best.
.......Umeshatoa posa? Mahari je? Raha ya pete uvishwe siku ya kutoa mahari..........mbele ya wazazi na ndugu. Sasa sijui utaratibu wa kwao huyo dada, ila ingekuwa vizuri kufanya utaratibu na makubaliano ya ndoa ili pete mvishane kiheshima.
Inaonekana hukusoma post yangu vyema,point sio alichokifanya babu bali kilichowafanya wawe pamoja kwa muda wote huo,pili nimeuliza msingi na sababu ya pete ni nini?Au tunafuata kikasuku?
Sababu ya msingi ni wao kupeana/vaa alama ya mapenzi yao.