Nimerejea rasmi CCM!

Hongera.
Karibu nyumbani achana kabisa na hao waosha vinywa.
Chukua kadi ili tuendelee kujidai.
 
Gazeti la leo linaonyesha hii picha, kweli mna sera za maendeleo kama haya ya kwenye hii picha



Mkondai Primary School pupils in Bahi, Dodoma region leave a mud-walled dilapidated building they have been using as classroom since their block walled one collapsed in 2012. The government on Thursday set aside a Sh3,465.1bn budget for development of education in the country. (Photo: Correspondent Peter Mkwavila)

Karibu sana mkuu kwenye chama chenye sera zenye dira ya maendeleo
 

Umepiga ngapi mpwa na sie tuje??
 
Karibu sana ktk chama dume, chama tawala, huku ni stress free hakuna matusi, karibu nyumbani.
 

Huyu nae eti anamuenzi Baba wa Taifa. Kwa kutaja makabila.
we nae ni kaburu tuu....
Wale south Africa hatukuwapnga kwa rang zao tuliwapnga kwa ubaguzi wao
Ww nae ni kaburu tuu
 
cdm ccm wote njaa kali...ila bora jini likujualo...
 
Ukiona mtu anasifia CCM ujue yuko kwenye kampeni!!!!!Chama cha majanga
 

umemKOMESHA VIBAYA SANA !
 
Dume kwako na familia yako sio kwa watanzania,punguza uzembe wa kufikiri. Utabaki hivyohivyo tu kujikomba kwao lakini hutaambulia hata ubalozi wa nyumba 5.Poleeeeeee:israel::israel:
 
Ume ingia chaka mkuu ebu toka acha kujiaibisha na chama chakavu icho.vp ata huu ufisadi umeufurahisha?hospitaly kwenyewe dawa hakuna,thamani ya fedha ime shuka deni la taifa ndio hilo.Rais wako ndio huyo kawa promota wa diamod!duuh kweli ccm iko vizuri.
 

Deni la taifa ni shilingi ngapi?
 

pumbavu mjinga sana wewe,nenda vijijini walipo maccm wenzako mkaungane kusubiri jehanam wajinga wakubwa nyie,muulize mramba mjinga mwenzako yaliyomkuta,eti watanzania wale nyasi ila ndege ya rais inunuliwe,sasa hivi anakula nyasi yeye segerea,usirudie tena kuleta uharo wako hapa,tafuta wapumbavu wenzako nyau wewe!
 
uamuzi huu wa busara umenijia baada ya kupata dondoo chache za wajasiriamali hawa CDM Hakika USIPOLIJUA JAMBO NI KAMA USIKU WA KIZA KINENE awali nilikuwa cdm damu,KWELI MICHEPUKO HAIFAI NILIPOTEA LKN NIMEREJEA

Tangulia mkuu, Zitto atakuja bunge kikishavunjwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…