Changes boy
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 552
- 363
Hayo mahusiano unayafanyia mtandaoni?Eti ni sahihi kupunguza mawasiliano na mke wako mtarajiwa baada ya kuona maisha yatakua magumu kutokana na kuwasiliana sana. Ili nguvu iamie kwenye maendeleo kwa muda wa wiki 2 au 1.5 . pia kuepusha marumbano kwa kukaa mtandaoni ambapo watu wakiniona mtandaoni vijembe na maneno ya uongo yanakua mengi hata raha ya mtandaoni sioni.hii ni kutokana na Mimi sipendi kelele na ugomvi tena wakuchonganishwa.
Hayo mahusiano unayafanyia mtandaoni?
Mara nyingine tunawasiliana WhatsApp sipendi kutumia SMS na call zinaniboa. WhatsApp nikiwa online watu wanapiga madongo sana naona watahatarisha mausiano yetu halafu ni watu muhimu kwenye connection za michongo ya hela kuwablock siwezi. Tuko mbali kutokana na mishemishe wote.soon tutaonanaHayo mahusiano unayafanyia mtandaoni?
Ktk kosa ambalo utalijutia ni hilo.mko mbali.na unataka kupunguza mawasiliano.aya endelea.Mara nyingine tunawasiliana WhatsApp sipendi kutumia SMS na call zinaniboa. WhatsApp nikiwa online watu wanapiga madongo sana naona watahatarisha mausiano yetu halafu ni watu muhimu kwenye connection za michongo ya hela kuwablock siwezi. Tuko mbali kutokana na mishemishe wote.soon tutaonana
bro, unamute tu huoni hayo madongoMara nyingine tunawasiliana WhatsApp sipendi kutumia SMS na call zinaniboa. WhatsApp nikiwa online watu wanapiga madongo sana naona watahatarisha mausiano yetu halafu ni watu muhimu kwenye connection za michongo ya hela kuwablock siwezi. Tuko mbali kutokana na mishemishe wote.soon tutaonana
na mute sana ila yanazidi mpaka partner ananinuniabro, unamute tu huoni hayo madongo
Halaf umejuaje madongo ni yako??
poa mkuuKinga pekee ya hayo mahusiano yako ni mawasiliano mzee baba
Hali imekuwa tete mitaani nyuzi za jinsi hii zinazidi kushamiriEti ni sahihi kupunguza mawasiliano na mke wako mtarajiwa baada ya kuona maisha yatakua magumu kutokana na kuwasiliana sana. Ili nguvu iamie kwenye maendeleo kwa muda wa wiki 2 au 1.5 . pia kuepusha marumbano kwa kukaa mtandaoni ambapo watu wakiniona mtandaoni vijembe na maneno ya uongo yanakua mengi hata raha ya mtandaoni sioni.hii ni kutokana na Mimi sipendi kelele na ugomvi tena wakuchonganishwa.
nilitaka ushauri. Pamoja mkuuHali imekuwa tete mitaani nyuzi za jinsi hii zinazidi kushamiri
Sorry... But inaelekea unatumai mitandao isiyo sahihinilitaka ushauri. Pamoja mkuu
kama anajielewa hawezi kumegwa. Ila ni uamuzi mgumu kuzidi wa namba moja jiwe😂Dooh we jamaa ni pungu au kitu gani?..mawasiliano yenye ufahamu yatakiwa baina ya wapenzi wewe ndio unaharibu unataka kwenda mbali...watu wengine hampendeki kabisa kwahivyo unaachia nafasi majamaa mengine yawasiliane okay basi sawa..kupanga ni kuchagua