Nimepoteza vyeti naombeni mwongozo

unguja

Member
Jul 11, 2015
40
22
Habari za mchana wakuu,

Naomba msaada kwa wanaojua utaratibu wa kufanya ili kupata vyeti vingine,

Nimepoteza vyeti vya 1) Olevel 2) A-level 3) Vyeti vya chuo CBE & IFM.

Anayejua taratibu za kufanya ili niweze kupata vyeti vingine p/se anisaidie kunipa taratibu za wapi nianzie.

Nawasilisha.
 
Labda uende Polisi utoe taarifa alafu ukisha pewa lost report nenada nayo katika vyuo husika uwape copy kama uthibitisho kua ulisha soma hapo au namba ya usajili then naona kama wata pitia data zao alafu watakutengenezea vingine lakini naona kama kunaweza kua na gharama ila kwa Necta si thani kama wanatoa tena cheti mara ya yapili ila kuna kitu wana kufanyia kizuri tuu.
 
Karipoti polisi, the utapewa RB na utatakiwa kutangaza kwenye gazeti la serikali harafu utaanza taratibu za kufuatilia baraza la mitihani na vyuo ulivyosoma. Ila baraza la mitihani sina uhakika kama kwa sasa wanatoa tena vyeti, maana watakuwa transcript tu.

Halafu uwe na tabia ya kuziscan na kuziweka kwenye E-mail vyeti vyako na original uvitunze kama fedha.
 
than mkuu
 
Back
Top Bottom