Ukishapata ufumbuzi wa ufunguo, ili tatizo lisitokee tena hakikisha unakuwa na keyFinde - ambapo waweza locate ufunguo wako kwa kutumia app ya simu au alarm.
- Mifano ya keyFinde iko hapa: amzn.to/2HlGuHN
Sasa ni wakati muafaka wa kumiliki Keyfinder, ingia aliexpress au amazonWakuu asanteni nimeupata ufunguo wa gari. Ulikuwa ndani ya begi ambalo huwa silitumii kabisa.
Inafanyaje kazi mkuu hii nisaidie ili nipate kujua mkuuUkishapata ufumbuzi wa ufunguo, ili tatizo lisitokee tena hakikisha unakuwa na keyFinde - ambapo waweza locate ufunguo wako kwa kutumia app ya simu au alarm.
- Mifano ya keyFinde iko hapa: amzn.to/2HlGuHN
😀 😀 😀 😀Mkuu naomba nisiwe kikwazo kwako kupewa tenda hiyo, nisamehe
Pitia hizi videoInafanyaje kazi mkuu hii nisaidie ili nipate kujua mkuu
Ukipoteza vyote kwa pamoja inakuweje hapo mkuuSasa ni wakati muafaka wa kumiliki Keyfinder, ingia aliexpress au amazon
View attachment 794425
Sio lazima anunue ignition switch mpya. Akiweza kufungua mlango wanatoa hio ignition wanaitumia kuchonga meno kwenye funguo mpya.Home mitaa gani? Kama funguo imepotea jipange ununue ignition switch mpya ufunguliwe mlango ibadirishwe tu, kama gari ipo nyumbani mbona poa tu.
Haya nenda kachonge funguo ya akiba.Wakuu asanteni nimeupata ufunguo wa gari. Ulikuwa ndani ya begi ambalo huwa silitumii kabisa.
Asanteni kwa walio nitia moyo na walio nishauri. Nimejifunza mengi kupitia uzi huu.
Sio lazima anunue ignition switch mpya. Akiweza kufungua mlango wanatoa hio ignition wanaitumia kuchonga meno kwenye funguo mpya.
magari ya model za kizamani ndio yanatumia funguo magari ya ya kisasa kama hilo gari lako hewa yanatumia touch kama smartphoneDah...kumbe magari nayo hutumia funguo! Nilikuwa sijui kabisa....
Ndo raha ya technolojia ya zamani, hizi gari mpya funguo ya ignition haichongeki inabidi ubadili ignition system nzima pamoja na ile computer yake au upate sehemu wanayoweza kuprogram ufunguo mpya ambayo sidhani kama itapungua laki.Ndicho jamaa alichofanya kwangu, nilimfata Ubungo, haikuchukua hata dakika kumi kazi ikawa imesha, akala 20,000/= fasta.
Tafuta fundi Aje afungue switch uende nayo mawasiliano kama uko Dar pemben ya barabara iingiayo sokoni kutoka Barabara ya Mandela watakuchongea ufunguo mujarabu.Mimi polis walinipotezea ufunguo wangu nikafanya hvo.Wakuu nimepoteza ufunguo wa gari. Toyota.
Nifanyeje?
Sina spare.
Dah..mkuu..sijawahi kuona kufuli kwenye gari...zaidi ya kuona kwenye vyoo vya baa nyingi...hata hivyo magari ya huku kwetu yako wazi tuu...unaingia unasukumwa kwa nyuma...linawaka unasepa.....🙂magari ya model za kizamani ndio yanatumia funguo magari ya ya kisasa kama hilo gari lako hewa yanatumia touch kama smartphone
Wakuu nimepoteza ufunguo wa gari. Toyota.
Nifanyeje?
Sina spare.
Punguza presha.....Ngoja nikachongeshe now...nahisi dalili kama hizi