Nimepoteza Muda tu Form 5

Nimepoteza Muda tu Form 5

KAMA NCHI ILIBIDI F6 NI LAZIMA SIO OPTION.NA NDIO MAANA WOTE F4 NA F6 WANAWEZA KUSOMA CHETI.SUALA LA DIPLOMA NI JUST UPGRADING. LAKN UNI F6 MATTERS MOST SABB NI KUWA MITAALA YA CHUO INABIDI UWE NA FOUNDATION YA ALVL NA SIO DIPLOMA.SASA DIPLOMA ANAINGIAJE CHUO NI LAZIMA ADEMONSTRATE KWAMBA AMEWEZA KUMASTER KILE KIDOGO KILECHOTOLEWA KATKA MITAALA YA CHUON JAPO MARA NYINGI HUWA SI SAHIHI.ELIMU NA MAGARI,SADAKA,ETC HAVINA UHUSIANO.EDN BROADENS YOUR MIND AND SAVE YOU ON HOW TO TACKLE THE REAL PROBLEMS IN YOUR SOCIETY.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi naungana na mleta mada, elimu ya advance ni kupoteza muda tu. Kitu cha maana nilichokipata labda ni kusafiri mkoa ambao huenda isingekuwa elimu ya advance nisingeenda na kukutana watu wapya.
 
Jamani nashauri kama kuna mtu yeyote ana ndugu yake amemaliza form 4 mwaka jana...asijisumbue kumtafutia shule eti kusoma advance(form 5 na 6)...hiyo level ni ya matesobna kupoteza muda tu...

Cheti cha form 6 hakina kazi popote zaidi ya kuombea chuo tu degree...yaani hiyo ni hata ukifaulu...ukikosa mkopo basi na elimu yako mpaka form 6 huwezi enda kampuni yoyote ukaomba kazi ukapewa...

Lakini aliyemaliza form akaunga college yoyote inayotambulika kwa ubora akajiunga akasoma zake miaka 3(ambayo imeongezeka just miez kadhaa tu ya ule muda unaopoteza form 5 na 6)...akitoka anakuwa na cheti ambacho kina umuhimu popote...kwanza anapata ujuzi...pili anaajiriwa popote na anasikilizwa ukilinganishwa na aliyesoma form 6...tatu kupitia cheti hicho hicho cha DIPLOMA anaombea nafasi za DEGREE bila shida yoyote kama aliyemaliza form 6...

Yaani alisoma mpaka advance...akizingua chuoni...basi ndo hana namna...

Ila aliyesoma diploma...akizingua chuoni degree basi anaweza kutumia cheti chake cha diploma kusurvive mjini...

KWANZA UKUBALI UKATAE...MWENYE ELIMU YA DIPLOMA NDIYE ANAYEPATA AJIRA KWA WINGI NA HARAKA ZAIDI KULIKO MWENYE DEGREE...KWA SABABU...

1. Wenye degree maofisini ni Ma Attendants... Wenyewe ndio wafanyaji kazi...ukilinganisha na MABACHELOR HOLDERS ambao ni MaDecision Makers...
Sasa huwezi kuwa na madecision makers wengi na watendaji ni wachache...

2. Maboss wanawapenda madiploma hawasumbui mishahara na kujiona classic alafu ni wachapakazi...alafu ndio wengi...ila mabachelor holders ni WASUMBUFU..

NIMEJIONEA...

Sent using Jamii Forums mobile app
huu ndo ubaya wa elimu ya bongo kuwaanda watu kuwa vibarua na sio watu wafanyao yao ili wafanikiwe na hatimaye waweze kuajili wengine

babawawili
 
Huna point mkuu,unajidhalilisha Bure.....ikiwa wewe,familia yako,jamii yako na nchi yako inaongozwa na mtu unayedai amepata elimu ya kubangaiza....hahahaha

Naiheshimu DIPLOMA ingawa Mimi mwenyewe nimepitia advance

Hivi unawezaje kulinganisha advance na dip kama za DIT,MIST,KCMC n.k

Mimi nilimaliza olevel 2007 na washkaji zangu ambapo Mimi peke yangu ndio nilipangiwa advance ila wenzangu wanne walipangwa diploma DIT,MIST na RWEGALURILA dah wale jamaa walinipiga gape Kali sana maana Mimi nipo chuo mwaka wa pili jamaa wanadrive magari barabarani daaaahhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha jamaa mmoja alisoma na washkaji zangu tunasoma nao chuo, mshkaji alipiga div 1 akaenda diploma DIT sasa hivi anapiga kazi TBL na hata mwaka hajamaliza kwenye ajira ila kashafungua biashara zake hapa town. washakaji zake niko nao 3rd year tunapiga ugali na dagaa mchele wa jero. Kupanga ni kuchagua.
 
Yaani hii kitu inaniumaga sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu... A level kweli ni kubet.

Kwa engineering ukitoka form 4 tu nenda diploma... Labda watu wa medicine tu ndo waendelee na mambo ya kupita form six.

Ukweli ni kwamba a level ni kubet kwingi tena especially kwa awamu hii.
Elimu ya msingi+o level ilishindwa kuupa ubongo wako uwezo wa kuchanganua faida na hasara za kusoma A LEVEL ndipo ufanye maamuzi, matokeo yake ndio haya majuto unayoyajutia leo. Adui wako ni akili yako mwenyewe

Haya maisha bhana... kila mtu huwa yanamgonga kwa style yake.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna point mkuu,unajidhalilisha Bure.....ikiwa wewe,familia yako,jamii yako na nchi yako inaongozwa na mtu unayedai amepata elimu ya kubangaiza....hahahaha

Naiheshimu DIPLOMA ingawa Mimi mwenyewe nimepitia advance

Hivi unawezaje kulinganisha advance na dip kama za DIT,MIST,KCMC n.k

Mimi nilimaliza olevel 2007 na washkaji zangu ambapo Mimi peke yangu ndio nilipangiwa advance ila wenzangu wanne walipangwa diploma DIT,MIST na RWEGALURILA dah wale jamaa walinipiga gape Kali sana maana Mimi nipo chuo mwaka wa pili jamaa wanadrive magari barabarani daaaahhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kitu gani kilikufanya uchelewe kujiunga na chuo! Wenzio mliomaliza wote o-level chuo walimaliza 2013 wew bado uko mwaka wa pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa siku msibani hatuombani vyeti, tunaombana rambirambi.
Kwenye nyumba za ibada, tunaombana sadaka, zaka, fungu la kumi. Sio vyeti.
Kwenye vyombo vya usafiri, tunaombana nauli. Sio cheti
National stadium tunaombana kiingilio pale. Sio cheti
TRA tunalipa kodi. Hupeleki cheti
Tanesco unalipa bill, sio cheti.

Mafanikio hayana njia moja. Pita yoyote, chamsingi usiwe mzigo kwa familia na taifa kwa ujumla.
Mwishoni ndio umemalizia vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani nashauri kama kuna mtu yeyote ana ndugu yake amemaliza form 4 mwaka jana...asijisumbue kumtafutia shule eti kusoma advance(form 5 na 6)...hiyo level ni ya matesobna kupoteza muda tu...

Cheti cha form 6 hakina kazi popote zaidi ya kuombea chuo tu degree...yaani hiyo ni hata ukifaulu...ukikosa mkopo basi na elimu yako mpaka form 6 huwezi enda kampuni yoyote ukaomba kazi ukapewa...

Lakini aliyemaliza form akaunga college yoyote inayotambulika kwa ubora akajiunga akasoma zake miaka 3(ambayo imeongezeka just miez kadhaa tu ya ule muda unaopoteza form 5 na 6)...akitoka anakuwa na cheti ambacho kina umuhimu popote...kwanza anapata ujuzi...pili anaajiriwa popote na anasikilizwa ukilinganishwa na aliyesoma form 6...tatu kupitia cheti hicho hicho cha DIPLOMA anaombea nafasi za DEGREE bila shida yoyote kama aliyemaliza form 6...

Yaani alisoma mpaka advance...akizingua chuoni...basi ndo hana namna...

Ila aliyesoma diploma...akizingua chuoni degree basi anaweza kutumia cheti chake cha diploma kusurvive mjini...

KWANZA UKUBALI UKATAE...MWENYE ELIMU YA DIPLOMA NDIYE ANAYEPATA AJIRA KWA WINGI NA HARAKA ZAIDI KULIKO MWENYE DEGREE...KWA SABABU...

1. Wenye degree maofisini ni Ma Attendants... Wenyewe ndio wafanyaji kazi...ukilinganisha na MABACHELOR HOLDERS ambao ni MaDecision Makers...
Sasa huwezi kuwa na madecision makers wengi na watendaji ni wachache...

2. Maboss wanawapenda madiploma hawasumbui mishahara na kujiona classic alafu ni wachapakazi...alafu ndio wengi...ila mabachelor holders ni WASUMBUFU..

NIMEJIONEA...

Sent using Jamii Forums mobile app
1552542049428.png
 
Mtoa Post hujafkiria mbele zaidi... Kuwa aliyesoma ADVANCE alaf akafeli form 6 akapata credit zake (cheti) anaweza kwenda kusoma DIPLOMA moja kwa moja..

Tofaut na aliyeishia form4.. Ataanza Certificate ndio aje Diploma. Hilo moja.

Pili wajuzi wa mambo wanakwambia SHORTCUT ALWAYS IS A LONGCUT.. Serikali yetu haieleweki..inabadili mfumo kila siku so ni muhimu kufata Protocol iliyowekwa.

Kingine zaidi Watu wa diploma wanakuw prefered kwa sababu ni WATU WA KUNYONYWA.. yaan mshahara wanaopewa Huwez kulinganish na mtu wa degree.. So waajiri wanapendekez watu wa diploma ili wawape mshahara mdogo kwa faida zao wenyewe.. Hivyo yaan ni Better kusoma Degree direct from A-level

Na kingine usipotoshe watu hapa.. Kipindi cha udahili if umesoma diploma.. Na unatak ukasome degree aisee KUPATA chuo ni mbindeee vibaya mno tofaut na wale direct kutok A-level.

So kam mtu malengo ni kusoma Mpaka Degree it's better kupita a-level.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
njia nzuri ya kusurvive hapa mjini ni kusaka hela sio vyeti kama kuna MTU anabisha akamuulize DAB
 
Mm sion kama shida ipo maana baad ya o level mwanafunz anapew cell form achague wapi atakapo join kwa jinsi alivyofany mtihan waga hamn sehemu imeandkwa waliofaulu wajaze waende advance bali ni pale mwanafunz atakapo chagua. Kipengel cha kwanz wag ni Advance kikifuatiw na college then technical schools. Kwa hiyo kwend diplom chuo sio kufel ni kipendeleo chko maan unawez ukaon physics haupo vzur au umefaulu kw bahat tu. Yule aliejaz kweny cell form diplom college atapangiw sawa na wale waliojaz Advanc na technical schools. Kwan fact itakuw Advance 2yrs Diploma (afya) 3yrs sema aliend diplom ili ajiendelez kuw medical doctor lazim awe alipat CC pamoj na D physics Na chuo bac awekapat gpa y 3.5 kam sijakosea ila wote wakifaul watapokelew University sema waliopitia advanc wanapew san more priority than wa diplom chuo. Pand zot zin faid kutokan na uwezo wa familia pamoj n malengo ya mwanafunz. Kama hatakuw ana haj y kujitegemea kimaish kwa kupta hela mapem kweny umri mdog ikiw familia wap vzuri kifedha basi diplom itamfaaa. Ila kam mwanafunz bdo anaon wakat bdo wake wakujitegemea wakat anajion umri mdog basi advance ita mhusu hii uend ikatokea kw familia kutokua na uwez mzur w jifedha n.k priority ya waliopitia chuo ipo kwenye kuajiriw kwan wao hua na experience fulan y kazi. Pia wasaishaji wa mtihan wanawez kuon ufaul ni mkubw kam kweny masom y afya hvyo wanawez wakahamua kuupunguz kwa kutumia som moj mfano physics ili weng wasiend advance kuondoa idadi kubw y watu mashulen hvyo huend kupelekea wanafunz kwend chuo kwa wale wenye ndot za udaktar ilikutimiz ndot zao
Sema mind set za watu ndo zipo kwamba ukiend chuo umefel au unapita shortcut ( et elimu ya kuungaunga)
 
na cheti changu cha diploma now am paid 1.5M+ wakati nikiendelea na masomo ya degreee. madogo walio pitia advance wanalalamika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom