Nimepoteza Muda tu Form 5

Nimepoteza Muda tu Form 5

hoja zake mbona zimenyooka? ushawai kuona matangazo mangapi ya ajira kigezo wanahitaji form 6 holder?

na pia umewahi kuona matangazo mangapi ya ajira ambapo kigezo wanahitaji diploma holder ?
Mkuu hapa ndio unapotea kabisa-Cheti cha Form 6 hata ikiwa Division 1:3 hakikupi kazi, kwa hiyo siyo cha kufananisha na diploma, ufaulu mzuri unakuwezesha kwenda Chuo kuchukua degree. Cheti cha Diploma kina akisi ujuzi wa kuajiriwa au kujiajiri, na kwa wachache wanaweza pia kuomba kwenda kusoma degree lakini kwa Tanzania hii sio njia kuu ya kwenda chuo, na kwa degree kadha aliepitia form 6 anakuwa na matayarisho bora zaidi. Hivyo inabidi anaemaliza form 4 ajitahmini na kuangalia ipi ni njia sahihi kwake. Huwezi ukasema ki ujumla kuwa kwenda F6 ni kupoteza wakati. Lakini hapo hapo hii haimanishi kila mtu ajilazimishe kwenda Advance.
 
Waambie na uform 6 wako kwa mfano ukadisco chuo...nan atakupokea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wate wa Advance, Cert/Diploma wanadisco tu. Na hata huko degree watu wanadisco tu. Unapo disco unajipanga upya. Unataka kuniambia watu wasichague advance kwa sababu chuo kuna kudisco? Na anaedisco cert/diploma anapokelewa na nani?
 
WANGEJUA MIMI NIPO CHUONI KWA DIV 1 YA ADVANCE...NAONGEA NILICHO EXPERIENCE...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujatueleza ulicho experience we binafsi-yaani kilichokutokea hadi useme Adv. ni kupoteza muda. Uliyoweka ni mambo general, hapo kama nakupata vizuri wewe uko chuoni (yaani wachukua degree, kama nimekosea nisahihishe), sasa muda wako umeupoteza vipi?
 
Watu mnaopondea form six ni kwamba iliwashinda tu and nothing else. Elimu ya kubangaiza sio nzuri kabisa. Niliona jinsi baadhi ya equivalents walivyopata shida shuleni.
Wengi mnaofikiria diploma mna mentality za kufeli tu. Huwezi kuenda diploma eti ili kama nikidisco chuo bado nipate kazi....pathetic
Kama Huna ubongo wa advance nenda hukohuko na kwa taarifa yenu nyie mnaoungaunga kufika chuo Ndalichako anawalia timing tu.

Sioni sababu ya kuponda advance, lakini pia hakuna sababu ya kuponda cert/diploma. Tuna mazingira tofauti na tumeumbwa tofauti la msingi kila mtu apate knowledge skills za kumuwezesha kupata ajira (kuajiriwa kwa wengi au kujiajiri). Kila nchi inataka kupata the right mix ya technical people na wenye degree. Hivyo kila mtuaamue njia ipi ni bora. Kwenye kazi nyingi utakuta mnategemeana kuzalisha sasa cha ajabu hapa mnatukana kupitiliza badala ya kuelekezana.
Pili hakuna elimu ya kuunga unga hii ni dharau kwa jitihada watu wanazo chukua. Tunapita njia tofauti kutokana na mazingira yetu. Hivyo mtu kwa mfano hakufaulu vizuri F4 akenda veta, halafu akapita Nacte na mwisho akaingia chuo ikuu akatoka na degree labda akaishia na masters. Kwa nini tusimpongeze kwa juhudi yake badala yake tunamwambia ana elimu ya kuunga unga na kazini yuko vizuri?
Hilo la Ndalichako uliloweka hapo haliwezi kutokea kwani kazi yake ni kuhahakisha mfumo wa elimu unafanya kazi vizuri na hicho unachoita kuunga unga ni part ya mfumo huo dunia nzima.
 
Watu mnaopondea form six ni kwamba iliwashinda tu and nothing else. Elimu ya kubangaiza sio nzuri kabisa. Niliona jinsi baadhi ya equivalents walivyopata shida shuleni.
Wengi mnaofikiria diploma mna mentality za kufeli tu. Huwezi kuenda diploma eti ili kama nikidisco chuo bado nipate kazi....pathetic
Kama Huna ubongo wa advance nenda hukohuko na kwa taarifa yenu nyie mnaoungaunga kufika chuo Ndalichako anawalia timing tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna point mkuu,unajidhalilisha Bure.....ikiwa wewe,familia yako,jamii yako na nchi yako inaongozwa na mtu unayedai amepata elimu ya kubangaiza....hahahaha

Naiheshimu DIPLOMA ingawa Mimi mwenyewe nimepitia advance

Hivi unawezaje kulinganisha advance na dip kama za DIT,MIST,KCMC n.k

Mimi nilimaliza olevel 2007 na washkaji zangu ambapo Mimi peke yangu ndio nilipangiwa advance ila wenzangu wanne walipangwa diploma DIT,MIST na RWEGALURILA dah wale jamaa walinipiga gape Kali sana maana Mimi nipo chuo mwaka wa pili jamaa wanadrive magari barabarani daaaahhhh

HICHO NDICHO NACHOONGELEA MIMI...WANAOLIPONDA HILI...WANA AKILI MGANDO...ETI ALIYEPITIA DIPLOMA AMESHINDWA KUPATA CHANCE YA ADVANCE...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikisoma Reply za huu Uzi ,naona kuna Akili za watoto na Akili za Wakubwa ndani yake
Waliokomaa Kiakili na ambao hawajakomaa kiakili
Sauti za kitoto zenye wingi wa Kutokuelewa nini wanaandika
Na sauti za Kikubwa zenye Busara na Maarifa
Ova

Teflon_Don
 
Mwisho wa siku msibani hatuombani vyeti, tunaombana rambirambi.
Kwenye nyumba za ibada, tunaombana sadaka, zaka, fungu la kumi. Sio vyeti.
Kwenye vyombo vya usafiri, tunaombana nauli. Sio cheti
National stadium tunaombana kiingilio pale. Sio cheti
TRA tunalipa kodi. Hupeleki cheti
Tanesco unalipa bill, sio cheti.

Mafanikio hayana njia moja. Pita yoyote, chamsingi usiwe mzigo kwa familia na taifa kwa ujumla.
 
Umeongea fact.lakin taitizo ni ada za college$diploma.huwa ni kubwa sana.kama hata diploma wangekuwa wanaopewa mkopo basi ni vema.nfano mdogo waku alikuwa anasoma diploma ya biashara cbe,ada ni kubwa kuliko nnayotoa mimi kwenye Bachelor.sasa hicho ndio kikwazo zaidi.
ila mengine yote umeongea sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna point mkuu,unajidhalilisha Bure.....ikiwa wewe,familia yako,jamii yako na nchi yako inaongozwa na mtu unayedai amepata elimu ya kubangaiza....hahahaha

Naiheshimu DIPLOMA ingawa Mimi mwenyewe nimepitia advance

Hivi unawezaje kulinganisha advance na dip kama za DIT,MIST,KCMC n.k

Mimi nilimaliza olevel 2007 na washkaji zangu ambapo Mimi peke yangu ndio nilipangiwa advance ila wenzangu wanne walipangwa diploma DIT,MIST na RWEGALURILA dah wale jamaa walinipiga gape Kali sana maana Mimi nipo chuo mwaka wa pili jamaa wanadrive magari barabarani daaaahhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako kumbe ni magari!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeeleweka vyema sana

Back
Top Bottom