Ata cjui mkuu nomba nisaidie kuzitafuta aisee
Tangu ni fanikiwe Ku move on jaman najiona nimebadilika sana sina mzuka wa mapenzi kabsaaa yaan Niko wa baridi sana kwanzia moyoni sina feelings na mtu yeyote ..
Ata nkikutana na mtu wangu sitaki ata anisogelee nakeleka sitaki ata romance ata sex siinjoy wala siiwazi tena...
Afu Niko mkavu jaman ivi nifanyeje feelings ziludi maana nmetoka nje ya mstari kabsaa ata sex mpka tutumie vilainishi ndo tufanikishe zoezi. ..
Msaada wenu jaman nimepoteza nyege zangu..![]()
![]()
![]()
Okay mkuu nice

Mkuu ctumii uzazi wa mpango wowote ule duniani ntazingatia kula ivo vyakulaKama unatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango,hizi za kisasa,acha..zinapunguza hisia na kusababisha ukavu kwny uke.
Kula tende ,karanga mbichi,asali ma mlenda kwa sana
Tende changanya na maziwa fresh,inakuwa nzuri zaidiMkuu ctumii uzazi wa mpango wowote ule duniani ntazingatia kula ivo vyakula
jaribu kujichoma na moto au sindano,halafu uone kama utapata hisia kitu kinakuingia basi ujue huna tatizo loloteHahahah mkuu umenifurahisha sio kwamba nimetumika noo nikwamba sina hisia kabsa ....na mtu yeyote ata ukinigusa si feel chochote nakuona wakawaida tu....ngoja nikomae kula bamia labda zitanifanya ninyegeke hahah