Nimepoteza msisimko wa mapenzi

Nimepoteza msisimko wa mapenzi

Pole sana
Hiyo inatokea Mara nyingi sana kwa watu walio wahi kuumizwa na wapenzi wao waliopita

Hujikuta moyo umepata ganzi,kiasi kwamba hata atokee mwanaume akikutamkia nakupenda unaona anakupotezea muda tu coz unaona yaleyale tu,hiyo hali umeijenga na kila siku unausemesha moyo wako usikubali,haiwezekani uumie wewe tu,mapenzi basi,hata ukimkubali mtu hautompenda kutoka moyoni,ilimradi tu upo naye nawe uonekane una mpenzi,ila hisia zako hazipo tayari


Ukitaka hali hiyo ikuache sema na moyo wako ufanye mabadiliko,uaminishe kwamba wanaume wote si sawa,tatizo hilo ni la kisaikolojia
Mwisho nakushauri onana na mshauri wa saikolojia utapona.
Asante mkuu ntaufanyia kazi ushauri wako....
 
Kunywa dazban itakusaidie sana hilo tatizo
Tangu ni fanikiwe Ku move on jaman najiona nimebadilika sana sina mzuka wa mapenzi kabsaaa yaan Niko wa baridi sana kwanzia moyoni sina feelings na mtu yeyote ..

Ata nkikutana na mtu wangu sitaki ata anisogelee nakeleka sitaki ata romance ata sex siinjoy wala siiwazi tena...
Afu Niko mkavu jaman ivi nifanyeje feelings ziludi maana nmetoka nje ya mstari kabsaa ata sex mpka tutumie vilainishi ndo tufanikishe zoezi. ..
Msaada wenu jaman nimepoteza nyege zangu..
 
Mtoa maada tafuta mtu mwenye pesa awe anakuhonga pesa za kutosha kama no dewji hakika ukimuona tu kabla ya ku do ushalowa chapa chapa
 
Back
Top Bottom